Mke Wa Dr. Salaa Josephine Alonga Na JF

Mke Wa Dr. Salaa Josephine Alonga Na JF

Status
Not open for further replies.
Nani aliyekwambia kuwa mtu mwenye matatizo kama Slaa anaweza tatua ya wenzake?! Lazima nyumba yako iwe safi kabla hujanyooshea kidole za wenzako.

Angekuwa hana uwezo wa kutatua matatizo wala msingemjadili.Mbona hamumzungumzii Lipumba au wagombea wengine?Halafu unachekesha kweli unapotumia msemo "lazima nyumba yako iwe safi kabla hujanyooshea kidole wenzako".Je yako ni safi wakati unamnyooshea kidole Slaa?Je nyumba ya JK mnayejikomba kwake ni safi?

Kubwa tunaloweza kufanya ni kuwaonea huruma kwa vile mnatumika kama condom: muhimu kabla na wakati wa tendo la ndoa lakini inaonekana uchafu shughuli ikimalizika.Mmmekurupuka kwa wingi ku-join JF ili mjipendekeze kwa JK kwa matarajio ya kukumbukwa baada ya uchaguzi,lakini we are certainly sure baada ya uchaguzi (mtakapobaini kuwa mlikuwa used and abused) mtarejea hapa kulalamikia mgao wa umeme kama si matatizo ya maji au rushwa...or mahakama ya kadhi.
 
nakubaliana na wewe lakini kama unasaliti si ni mpaka ukamatwe na ushahidi uwepo na sio hearsay mnayoisema
wameshakamatwa mara ngapi??? na wengine wako jela kwa ajili yao??? too blind to see it huh?
 
ninamna tu ya kukuonyesha Dr sio malaika na hana jipya. muhuni tu

Finally,umejidhihirisha kuwa tatizo lako sio ishu ya Josephine au masuala ya kifamilia bali ni mtizamo wako wa kiitikadi.Ni wapi Dkt Slaa alisema yeye ni malaika?Hata angekuwa na jipya ungeliona wakati nafsi yako imetawaliwa na chuki pamoja na hofu ya hatma ya mafisadi wenzenu?Uhuni huo wa Dkt Slaa ni kwa vile kaweka masuala yake ya kifamilia hadharani au alishatembea na wewe pia?

Looks like hili suala kwako ni personal zaidi kuliko of public interest kama ulivyojaribu ku-argue mwanzoni.I suspect kuwa baadhi yenu ni akinamama mliotaka nafasi ya Josephine iwe yenu lakini ndio hivyo tena.

POLENI.
 
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ph-kulangwa-habari-leo-sasa-ni-zamu-yako.html

Ndugu wana JF,

Nimekuwa nikisoma nakufatilia trend zote zilizokuwa zinanihusu,naomba kuwashukuru wote mlioweza kutoa maoni ambayo yamewajenga wengi wanaopitia mtandao huu,leo nimeamua kuvunja ukimya na kujiunga na wana JF ili inapotakika basi mniulize mwenyewe kuliko kusikiliza watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Mimi ndiye Josephine Mushumbusi.Sijawahi kuongea au kuulizwa chochote juu ya maisha yangu binafsi vyombo hivi nya habari vimekuwa vikiandika mengi juu yangu leo,sitashangaa sana kwakuwa hilo ni lengo lao.

Ndugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo,

mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.

napenda niwaeleze,mtasoma mambo mengi,mimi ninao moyo mkuu kwakuwa najua nijinsi gani mtu anavyoweza kutumiwa,sikutengana na Mahimbo leo wala mwaka jana,nasikuanza kuishi na Dk leo.

Naomba tu mjiulize katika utaratibu wa kawaida Ndugu tunao,wachungaji tunao mbona wao wako kimya?naelewa na ninajua vitisho vyote alivyopewa mahimbo na kutengeneza habari hizi zote,Ndugu zangu tusipende kutengenezeana shutuma kwani tunajichumia dhambi za bure,USILOLIJUA NIKAMA USIKU WA GIZA

Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?

Nitasonga mbele na Kumuangalia Mungu kama Hakimu wa kweli,sitaogopa Mtu yeyeto kutoa maoni yake binafsi juu ya maisha yetu kwani hatukuyaanza leo.

Wahariri nivema mkatumia utaalamu wenu na si kutumika kama mnavyotumiwa sasa,Nililijua hili mapema sitarudi nyuma daima tutasonga mbele.

NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.NITASIMAMA KATIKA ZAMU YANGU KAMA MKE MWEMA NA HAKUNA LITAKALOHARIBIKA,KWANI NINAYAWEZA YOTE KWAKE YEYE ANAYENITIA NGUVU.Efeso 4:13

Najua jambo moja tu,mipango ya Mungu si kama mipango ya wanadamu.na ndiyomaana ametupa ujasiri wa kujiweka wazi bila kuogopa shutuma zozote.

Dhambi isiyosameheka n kumkufuru roho yaani DHAMIRA yako safi. Kama kweli wewe n Josephne umeamua kufuata dhamira yako unayoamini ni sahihi na n vyema Mungu akutangulie na ubarikwe.
 
Josephine hapa bado. Rudi tena na maelezo yenye kueleweka zaidi.
 
Finally,umejidhihirisha kuwa tatizo lako sio ishu ya Josephine au masuala ya kifamilia bali ni mtizamo wako wa kiitikadi.Ni wapi Dkt Slaa alisema yeye ni malaika?Hata angekuwa na jipya ungeliona wakati nafsi yako imetawaliwa na chuki pamoja na hofu ya hatma ya mafisadi wenzenu?Uhuni huo wa Dkt Slaa ni kwa vile kaweka masuala yake ya kifamilia hadharani au alishatembea na wewe pia?

Looks like hili suala kwako ni personal zaidi kuliko of public interest kama ulivyojaribu ku-argue mwanzoni.I suspect kuwa baadhi yenu ni akinamama mliotaka nafasi ya Josephine iwe yenu lakini ndio hivyo tena.

POLENI.
Sina chuki binafsi na Dr slaa .Dr si mtaalamu na mambo ya siasa kwasana historia yake imebobea kanisani na hatutaki kugusa huko, ndio maana tunahiji uadilifu wake tu
 
quote_icon.png
Originally Posted by Kanyafu Nkanwa
Nani aliyekwambia kuwa mtu mwenye matatizo kama Slaa anaweza tatua ya wenzake?! Lazima nyumba yako iwe safi kabla hujanyooshea kidole za wenzako.

Kubwa tunaloweza kufanya ni kuwaonea huruma kwa vile mnatumika kama condom.
Inabidi sasa tuwe tuna hit penyewe maana tunazunguka mbali sana hawa jamaa hawaelewi kuwa wanatumika wenye nazo wako Masaki na Osterbay wakipulizwa upepo wa bahari.
 
Najaribu kuhisi kuwa next move, huyu jamaa (ex-husband) atakuwa pumped aende mahakamanikudai kunyang'anywa mke na vyombo vya habari (TBC & Habari Leo) wataifanya hii kuwa TOP news.

Hapa ndipo ninapoikubali JF, Kuna member mmoja alikuja jamvini akaeleza hii habari ya media kutumika kumchafua Slaa, na akaenda mbali kudai kuwa ni mpango rasmi ambao Dola itahusika na kuusimamia, yeye akatabiri magazeti ya Habari corporation kutumika. Wengine hatukumsikiliza tukihisi ni porojo, but the informer was right.
Naona jamaa walichange plan na kuitumia Habari Leo kusamabaza udaku na kuandika negative kwa hari za Slaa.

Mods, ile thread kama bado ipo naomba muirudishe, tumwulize yule mwenzetu what will come next baada ya hili la Ndoa.
 
Mimi naomba waendelee tu na mpango wao kwa sababu unaleta Positive Impact kwa Dr. Slaa
 
Josephine kila nikicheck nakuona upo online say some « Previous Topic | Next Topic »
Topic Information

Users Browsing this Topic

There are currently 76 users browsing this thread. (23 members and 53 guests)

thing
Naanza ku connect dots.... ICHONDI katutahadharisha kuwa inawezekana this is not the real Josephine amepandikizwa ili atuvuruge wapate habari ya kuandika kwenye magazeti kesho, sasa huyu paulss anapomwambia say some.....thing kwa kujificha ficha kwenye michongoma ??????????????
 
Sina chuki binafsi na Dr slaa .Dr si mtaalamu na mambo ya siasa kwasana historia yake imebobea kanisani na hatutaki kugusa huko, ndio maana tunahiji uadilifu wake tu
Wakati anataja List of shame alikuwa ni mtaalamu wa nini leo kwa vile anagombea urais si mtaalamu, kwa nini hamuwi straight mnakuja mmepinda pinda? au na wewe ni kati ya wale wanaotumiwa kama k...........
 
Naanza ku connect dots.... ICHONDI katutahadharisha kuwa inawezekana this is not the real Josephine amepandikizwa ili atuvuruge wapate habari ya kuandika kwenye magazeti kesho, sasa huyu paulss anapomwambia say some.....thing kwa kujificha ficha kwenye michongoma ??????????????
mkuu sjajificha ficha ni utaalamu mdodo wa kucheza na komyuta
anyway hata mimi ninamashaka kama ni yeye kimada wa dr slaa kweli
 
Wakati anataja List of shame alikuwa ni mtaalamu wa nini leo kwa vile anagombea urais si mtaalamu, kwa nini hamuwi straight mnakuja mmepinda pinda? au na wewe ni kati ya wale wanaotumiwa kama k...........
nirahisi kujua yai bovu lakini nivigumu kulitaga yai zuri. urais bado kidogo avumilie kama jk alivyofanya baadae labda
 
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ph-kulangwa-habari-leo-sasa-ni-zamu-yako.html

Ndugu wana JF,

Nimekuwa nikisoma nakufatilia trend zote zilizokuwa zinanihusu,naomba kuwashukuru wote mlioweza kutoa maoni ambayo yamewajenga wengi wanaopitia mtandao huu,leo nimeamua kuvunja ukimya na kujiunga na wana JF ili inapotakika basi mniulize mwenyewe kuliko kusikiliza watu wachache wenye ajenda zao binafsi.Mimi ndiye Josephine Mushumbusi.Sijawahi kuongea au kuulizwa chochote juu ya maisha yangu binafsi vyombo hivi nya habari vimekuwa vikiandika mengi juu yangu leo,sitashangaa sana kwakuwa hilo ni lengo lao.

Ndugu wanaJF,kwa wanaojua maisha ya ndoa,watakubaliana na mimi ndoa ni ya watu wawili ndoa haielezewi mahali pa wazi,ndoa ni ndani ya chumba chenu,watu wengi wamehukumu hasa wanapotazama maadili ya ndoa za kikristo,

mimi ni mkristu na nimejifunza Biblia vizuri,Lakini ni biblia hiyohiyo imetoa ruhusa kuwa ndoa inaweza kuvunjika kwa sababu ya msingi sana.

napenda niwaeleze,mtasoma mambo mengi,mimi ninao moyo mkuu kwakuwa najua nijinsi gani mtu anavyoweza kutumiwa,sikutengana na Mahimbo leo wala mwaka jana,nasikuanza kuishi na Dk leo.

Naomba tu mjiulize katika utaratibu wa kawaida Ndugu tunao,wachungaji tunao mbona wao wako kimya?naelewa na ninajua vitisho vyote alivyopewa mahimbo na kutengeneza habari hizi zote,Ndugu zangu tusipende kutengenezeana shutuma kwani tunajichumia dhambi za bure,
USILOLIJUA NIKAMA USIKU WA GIZA

Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?

Nitasonga mbele na Kumuangalia Mungu kama Hakimu wa kweli,sitaogopa Mtu yeyeto kutoa maoni yake binafsi juu ya maisha yetu kwani hatukuyaanza leo.

Wahariri nivema mkatumia utaalamu wenu na si kutumika kama mnavyotumiwa sasa,Nililijua hili mapema sitarudi nyuma daima tutasonga mbele.

NA MUNGU ATAFUNGUA NJIA NITAMTUNZA MUME WANGU MPYA ILI UMAKINI NA HEKIMA ZAKE ZILETE UKOMBOZI KWA WATANZANIA WOTE.NITASIMAMA KATIKA ZAMU YANGU KAMA MKE MWEMA NA HAKUNA LITAKALOHARIBIKA,KWANI NINAYAWEZA YOTE KWAKE YEYE ANAYENITIA NGUVU.Efeso 4:13

Najua jambo moja tu,mipango ya Mungu si kama mipango ya wanadamu.na ndiyomaana ametupa ujasiri wa kujiweka wazi bila kuogopa shutuma zozote.

Acha kuzuga watu
Kanisa halivunji ndoa, lina weza kuwaruhusu wana ndoa kuishi kwa utengano kwa mda, kutokana na sababu za usalama nk. Acha kuidanganya nafsi yako.
 
Mh.
 
nirahisi kujua yai bovu lakini nivigumu kulitaga yai zuri. urais bado kidogo avumilie kama jk alivyofanya baadae labda
Nimeshakujua wewe ni kati ya wanaotumiwa kama ko............. nakutupwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom