Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, Pwani, amefariki dunia baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Tukio hilo lilitokea alfajiri ya Jumanne, tarehe 8 Oktoba 2024, wakati wafanyakazi hao walipofika nyumbani kwake kudai marejesho ya mkopo wa Tsh 60,000 ambao mke wa Juma, Khadija, alikuwa ameshindwa kulipa kikamilifu.
Baada ya mabishano, wafanyakazi hao walitaka kuingia ndani ili kuchukua mali kama fidia ya mkopo. Juma alikataa, hali iliyosababisha ugomvi ambapo mmoja wa wafanyakazi hao alimshambulia Juma kwa kigongo shingoni. Baada ya kuanguka, walimbeba na kumpeleka hospitali, ambako alipoteza maisha.
Khadija, mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyochukua mkopa huo

Sawa kwahiyo mtu akikipoa akishindwa kulipa ndio apigwe? Hii nchi haina sheria?
Taasisi zote za kifedha zipo chini ya bot ,hawa oya sijui nani mmiliki ila katika hali ya kawaida wamevunja misingi ya kupewa leseni ya kukopesha fedha, wanatakiwa wafungiwe leseni ,upuuzi kabisa huu

Hii Nchi hali ya Umasikini wa kipato ni Mkubwa sana
Imagine Mkopo wa shilingi 200,000 wanakaa miezi 3 hadi 6 hadi kushindwa kulipa.
Wakati Mume angechukua hilo Jukumu la kuulipa huo mkopo sidhani kama angeshindwa kulipa walau shilingi 60,000 Kwa Mwezi ambapo ni wastani wa kusevu shilingi 2,000 Kwa Siku