Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa

OYA wanakuja hasi saa 7 usiku, na wanaruka ukuta. Walsingham kwa jirani yangu usiku wa manane kwa kuruka gets ni vichaa wasikie tu.
Huo si ujambazi kabisa aise lazima watakuwa na kigogo mkubwa either serikalini au bot anawalinda
 
Zipo baadhi ya Nchi Elimu kwao hawalipii hata senti 5 kusoma.

Tanzania bado hatujafika huko kutokana na Ukubwa wa Nchi pamoja na matatizo yaliyopo

Kama umetembea, zipo baadhi ya Shule hadi leo hii 2024 Wanafunzi wanakaa Chini

Shule hazina sakafu, wala matundu ya vyoo ya kutosha

Zipo baadhi ya Zahanati hazina watoa huduma Wala vifaa tiba

Hizo barabara ndiyo balaa, zipo Wilaya hadi leo hii 2024 hazijaunganishwa na Lami Wala hazipitiki wakati wa Masika

Kwahiyo tuna matatizo lukuki ambayo yanahitaji Fedha
 
Mkuu,
Chakushangaza na kusikitisha kwenye hayo maeneo ambayo hayana madawati ndio Kuna miti mizuri mizuri ya kutengeneza furniture.

Kwenye kilimo Bado hatujaweza kufikia hata agrarian revolution Bado jembe la mkono na pembejeo ni changamoto, mfumo wa stakabadhi gharani still unapigiwa kelele..

Tunakua Kama tumerogwa zaidi ya miaka 60's tuna pambana na maadui wale wale kwa kutumia mbinu zile zile ni vile yaan at least kidogo kwenye SOKA la vilabu africa tumeanza kuwapiku ma gwiji wa SOKA Africa Kama Cameroon, Nigeria na west Africa kwa ujumla.

Elimu yetu haiakisi mazingira yetu ni kukaririshwa notes na kujibu mitiani then unasahau ulicho jifunza after graduation 🎓 yaan ifike mahali mitaala yetu na elimu itolewe inayo endana na our environment sio ku create ma job seeker wengi and not job creator watakao saidia kutoa ajira nyingi kuisaidia serikali
 

alipigwa au walipigana? kesi ianzie hapo
 
Bana acha kutoa povu hapa, waambieni wake zenu wanapokopa pesa wakumbuke kulipa kwa wakati na kama hawako tayari kulipa basi wawe tayari kuachia vitu walivyoweka kama dhamana period...

Mkileta ukorofi mwisho wa siku yanatokea mambo kama haya... Na pia nyie waume zao muwe mnatumia busara kuongea na hao maafisa mikopo wanaowadai wake zenu, sio watu wanafika kumdai mkeo wewe unaanza kuwakaripia eti kwanini wamemkopesha mke wako bila wewe kujua? Mtakufa sana kama mkiwa na viburi kisa sijui Kuna Sheri zinazowalinda.
 
Ila hawa jamaa lakini, walishidwa hata kumpiga miguu mpaka washambulie shingo kweli? Hapa kesi ya kuua kwa kusudia inawakwepa kweli?

mkuu ni ajali, ya wezekana walisokotona au kutoleana maneno machafu kwanza
 
Naamini kabisa huyo mume wake kilichomsumbua ni ego yake ya kutaka kuonekena kama amechukizwa na mkewe kulipa bila kumpa taarifa na hao maafisa mikopo hawawezi kuchukua chochote humo ndani kwa sababu sio Mali ya mke wake Bali ni Mali yake..

Light kama angeongea nao kwa busara kwa kuwapa ahadi Tena ya kimaandishi obvious hao jamaa wangemuelewa na wanaondoka zao na mpaka leo hii angekuwa Bado Yuko hai.

Kilichomponza huyo marehemu ni ukaidi na kukosa busara, najua hapo lazima yalitokea mabishano tu na kauli mbovu ambazo zilipelekea huo ugomvi mpaka mauti yanamkuta.
 
Wala usidhani kuwa chuki dhidi ya Uislamu itakufanya uwe tajiri. Utakufa kama ntavyokufa mim na uislamu utauwacha kama utakavyouacha ukristo wako. Punguza chuki zisizo za lazima.

Hata mimi ni Mkristo lakini sijapenda alichoandika.
Ako na udini mbaya sana.
Sisi sote ni watanzania.
Sisi sote ni ndugu bila kujali tofauti zetu za kidini wala kabila n.k
Dini hutegemea Mungu ameruhusu uzaliwe na mzazi/mlezi wa dini gani kisha uloikuta unaizoea na kukua nayo.
Hakuna fundi wa kusema ameweza kuchagua dini fulani baada ya kujifunza zote.
M-bora ni Mwenyezi Mungu pekee.
Sisi tupendane, tuheshimiane, tutendeane mema na haki.
 
Ila hawa jamaa lakini, walishidwa hata kumpiga miguu mpaka washambulie shingo kweli? Hapa kesi ya kuua kwa kusudia inawakwepa kweli?
Unajuaje je kama huyo marehemu aliwashikia panga ikabidi wamuwahi??

Maafisa mikopo wanapitia mengi eti kwenye kudai madeni, Kuna wengine huku mtaani waliitiwa mwizi na mdaiwa sugu waliokuwa wamejenda kumdai, mpaka Sasa Kuna kesi inaendelea kuhusiana na Hilo tukio...
 
Aliyekutuma uje kuwatetea hana akili naye kama wewe,maana huna hata point ya maana zaidi ya kuongea ujinga tu, ukiua utafungwa na hiyo taasisi iliyokutuma utaongia matatizoni hakuna namna, angalia sasa hata hiyo oya pia imewakana tayari
Ni kukosa akili tu, hela ni za bank sio za kwao
Bank sio kikoba kuna sheria za kudai sio ukienda kinyume hicho kibank chako kinafungiwa
 
unaichukulia Poa 2,000?
 
Bado tunasumbuliwa na wale maadui watatu lakini Mkubwa zaidi ni Ujinga

Huyo adui Ujinga ndiyo anaturudisha nyuma
 
Unadhani wangeacha kusema kuwa walikuwa wanajihami? Mpaka leo hii hizo habari zingesikika maana asili ya binadamu ni kujitetea, yaani lazima habari zingeenea kuwa walikuwa wanatishiwa wakajihami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…