T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Vipi taratibu za kisheria huwa zinazuia mdai kubeba vitu vilivyowekwa dhamana? Maana inawezekana mzozo umetokea kwenye kubeba hivyo vitu na marehemu akatetea mali zao mwishowe ikatokea murder.Tatizo ni kwamba kwenye kudai mkopo kama hata mtu anakuwa mkaidi mahakama zipo wala hawaruhusiwi kumgusa ,its a civil matter, na hawa oya kwa malalmiko tunayoyasikia kila siku wanatumia nguvu kwenye kudai , na huyu mtu ameuwawa dukani kwake akiwa kwenye shughuli zake ,siyo rahisi utuambie huyu mtu mmoja eti awafuate maafisa wa oya wemgi apigane nao ,hata kwa akili ya kawaida tu haiingii