T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kwenye taratibu au mafunzo ya hiyo kampuni ya Oya umeona kuna sehemu wafanyakazi wanaelekezwa kumpiga mdaiwa?Scenario yako ni tofauti na kilichotokea
Hawa oya kazi yao ni kutoa mikopo
Mtu akashindwa kulipa,
Kuna njia za kudai ambazo sheria zimeweka kama kuchukua security au la kumpeleka mahakamani
Huwezi kurecover hela kwa kutumia nguvu,
Ni sawa coca cola kutuwekea maji machafu kisa kuna uhaba wa maji ,ni nje ya utekelezaji wa leseni yao
Kama kampuni inatoa mafunzo na maelekezo wafanyakazi wawapige wadeni, hapo ifungiwe. Wafanyakazi wamebishana na kupigana na marehemu, hawakumpiga bali wamepigana. Yeyote pale angeweza kufa, na sio kesi ya Oya ni kesi ya individuals.
Kwenye njia za kudai Oya waliamua kuchukua security.