Unajua regulators wapo kulinda walaji among other things, na hii mikopo hawa wakopaji ni masikini wakutupwa na hawajui haki zao wala hawana elimu ya kutosha ya wanachokifanya ila shida zinawaingiza kwenye mikopo kama hii
Na hawa oya wanajua hiyo weakness ,malalamiko ya wao kutumia nguvu yamekuwa mengi wakati miongozo ya bot inaeleza vizuri recovery process inavyotakiwa hakuna sehemu ya hata kugusana acha kupigana
Sasa kwa makelele tuliyoyasikia hadi jana mtu kauliwa ,bot wangekuwa wanafanya kazi yao vizuri wangeweza kuokoa maisha ya kijana yule
HAwa oya ni watu wenye uwezo presumption ni kwamba kuna conflict of interest ndio chanzo cha regulator kufumbia macho vitu vingi wankiacha mnyonge anateketea na kufaanyiwa vitendo vya kinyama,hapa bot wamefeli na hadi leo kama regulator hatujasikia chochote wakati hii mikopo ya hovyo ikiwadhalilisha na kuwatoa watu utu wao
Bro naona inatoa maelezo meeengi mengini hata yasiokuwa na mantiki kwenye hii kesi
Kwanza kabla hujaanza kuwatetea hao wadaiwa sugu na kuwaona wakopeshaji ni wahuni na waonevu umewahi kuona jinsi wanavyosumbuliwa na hao wakopaji kwenye marejesho??
Yaani mtu mkataba wake umeisha unakuta Bado anadaiwa marejesho zaidi ya matano na anafahamu kabisa mkataba ukiisha kama hajamaliza deni basi vitu alivyoweka dhamana ni Mali ya kampuni, lakini yeye anakuwa hayuko tayari kuzitoa vitu hivyo... Badala yake anaanza kuishi kwa kujificha, hata simu zenu hapokei.
Na mbaya zaidi Kila mkienda kwake mnaambiwa hayupo hata kama yumo ndani watoto wake au ndugu zake wanasema hayupo... Mnaweza mkatumia hata miezi miwili Kila mkienda mnamkosa na sio kwa sababu hayupo Bali anajificha.
Yaani mtu amekopa pesa kwa makubaliano maalumu kwamba akishindwa kulipa, basi Kuna collateral ya kufidia deni lake, lakini hataki kutoa hivyo vitu bali anaishi kwa kujificha akitegemea kwamba ipo siku mtakata tamaa ya kutafuta.
Siku maafisa mikopo wakichoka ndio wanafikia hatua hii.
Sasa ukiona mpaka wadai wamefikia hatua ya kutumia nguvu ujue Wana sababu ya kutumia nguvu na sio uanze kutoa lawama tu huku ukiwakingia kufua hao wadaiwa sugu wanaokiuka makubaliano ya kwenye mkataba.
Naona umekomaa tu regulators.. regulators sijui unataka wawe wanasamehe madeni kwa ajili ya kuwaogopa hao regulators... Watu wenye mawazo kama yako ndio huwa mnalea kasumba za kipuuzi za watanzania kwa sababu wanajua watatetewa.