Bana wewe kama ni mkopaji au una dada zako hapo au mkeo ambaye ni mkopaji wa hizi tasisi ndogo ndogo msisitize awe anaheshimu makubaliano hili kuepusha fedhea zinazotokana na kutokukulipa deni..One day utakuja ku regret kwenye kauli za hivi mbaya zaidi MAISHA HAYANA ⏪
Easy fuata ushauri Kama wadau wengi wanavyo kushaur VIOLENCE HAUJAWAI saidia hata Kama ulikua unadai iyo 75k utatumia gharama zaidi ya hio
Wabongo huwa Wana kawaida ya kutumia loopholes zilizopo kwenye Kila jambo kutotimiza wajibu wao, mfano kama hapa loophole iliyopo ni hiyo milolongo ya kisheria mnayoisema, mtu akishajua Hawa jamaa mpaka waje wanifirisi ni lazima wapewe permission na mahakama na hawawezi kwenda mahakamani kwa hii hela ndogo wanayonidai.... Hivyo basi mtu anaendelea kupiga marktime tu hataki kulipa deni kwa makusudi, tunajua sana akili za wabongo