ukiona CCM inahangaika na biashara ya kununua watu ujue imeshikwa pabaya. Chadema ni tishio kwa CCMKubali ukweli chadema inajiua yenyewe kutegemea kupokea wanachama wa ccm na kuwapa vyeo vikubwa wakiwatupa waliohangaikia chama kikiwa kichanga.
Cdm ruzuku wanaipata ila wanachezea kwa kesi za kubumba ili kuzidokoa vizuri kisingizio kulipa mawakili wa chama.
Kafulila ni mwanasiasa potential na mwenye uwezo mkubwa kuliko unavyomfikiria kwamba hana faida. When tasked Kafulila can accomplish any mission. Ana uwezo wa kuelewa na kuwasilisha ana uwezo wa kucheka na kulia in public. Usimchukulie poa kwa kuwa tu si mbunge kwa sasa.Kwann kafulila apewe ofa kipindi hichi ambacho hana faida wala kikwazo kwa chama tawala. Vipi nyalandu nae alipewa sh ngap kuhami cdm?
Anapeleka siasa hadi kwenye maisha ya ndoa.ila sawa ngoja tuone nini kitafuata baada ya hiliHuyo dada akikubali pressure za siasa kuharibu ndoa atakua hajui ndoa ni nini na atachuma dhambi bure ya kuvunja sakramenti ya ndoa. Asichukulie siasa kuwa maisha kwa kiwango hicho. Naamini hili halitawayumbisha ....akajifunze kwa Mama Lowasa na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda Chadema.
Kwahiyo unataka Dada akose Ubunge kwa ajili ya Tumbili?Hakuna sababu ya kufanya hivyo
Kafulila ni mwanasiasa potential na mwenye uwezo mkubwa kuliko unavyomfikiria kwamba hana faida. When tasked Kafulila can accomplish any mission. Ana uwezo wa kuelewa na kuwasilisha ana uwezo wa kucheka na kulia in public. Usimchukulie poa kwa kuwa tu si mbunge kwa sasa.
Umapoongelea wanasiasa katika safu ya ushambuliaji Kafulila huwezi ukamuweka pembeni, Kafulila ni zaidi ya nyarandu katika eneo hilo.
Kubali ukweli chadema inajiua yenyewe kutegemea kupokea wanachama wa ccm na kuwapa vyeo vikubwa
Acha u yuda wewe usifikiri kila mtu anapapatikia chiu au mhogo kama babu mihogo!!!Huyo dada akikubali pressure za siasa kuharibu ndoa atakua hajui ndoa ni nini na atachuma dhambi bure ya kuvunja sakramenti ya ndoa. Asichukulie siasa kuwa maisha kwa kiwango hicho. Naamini hili halitawayumbisha ....akajifunze kwa Mama Lowasa na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda Chadema.
Vipi Ccm na Shoza?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njaa hizi tunapoziendekeza zitaharibu hata mahusiano mazuri katika familia zetu. Jee ndugu, jamaa na marafiki nao wanalichukuliaje jambo hili ingawa ni la binafsi?
Ikumbukwe kuwa hata shetani anapokushauri utende jambo baya huwa hafikirii utawaumiza wanaokuhusu kiasi gani.
Huyo dada akikubali pressure za siasa kuharibu ndoa atakua hajui ndoa ni nini na atachuma dhambi bure ya kuvunja sakramenti ya ndoa. Asichukulie siasa kuwa maisha kwa kiwango hicho. Naamini hili halitawayumbisha ....akajifunze kwa Mama Lowasa na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda Chadema.
Huwezi mlinganisha shoza na lowassa au sumaye. Shoza hakupewa ugombea urais au ubunge wa jimbo. Hapo hujamtaja bulaya huyu ndo saiz kidogo ya shoza.
Nilijibu kulingana na kauli yako hiyo! Naona unabadili gea angani.Kubali ukweli chadema inajiua yenyewe kutegemea kupokea wanachama wa ccm na kuwapa vyeo vikubwa
Link ya FB hii hapa Jesca KishoaMbunge wa viti maalum Chadema ambaye pia ni mke wa David Kafulila Mh Jesca Kishoa amebadilisha jina kwenye profile yake badala ya kuwa #Jesca_Kishoa_Kafulila na kuwa #Jesca_Kishoa mi sijaelewa maana yake!
Nilijibu kulingana na kauli yako hiyo! Naona unabadili gea angani.
Kuna wanawake wanaamini kuwa waume zao wanajigeuza kitandani sio kwenye kauli zao. Hivyo ukigeuza kauli unashudhiwa credibility yako na kudharauliwa naye pia anajisikia vibaya kukuamini usiyeaminikaKwenye Ndoa ni lazima kutenganisha Maisha ya Ndoa na Maisha ya Kazi.., Sidhani kama hadi wao kufikia maamuzi ya kuingia kwenye Ndoa Siasa zilihusika, hivyo si vyema Siasa zikafanya Ndoa yao ivunjike!!!
unaelewa maana ya neno Assume????Kwann kafulila apewe ofa kipindi hichi ambacho hana faida wala kikwazo kwa chama tawala. Vipi nyalandu nae alipewa sh ngap kuhami cdm?
unaelewa maana ya neno Assume????