Mke wa Kafulila abadili jina lake facebook

Kubali ukweli chadema inajiua yenyewe kutegemea kupokea wanachama wa ccm na kuwapa vyeo vikubwa wakiwatupa waliohangaikia chama kikiwa kichanga.

Cdm ruzuku wanaipata ila wanachezea kwa kesi za kubumba ili kuzidokoa vizuri kisingizio kulipa mawakili wa chama.
ukiona CCM inahangaika na biashara ya kununua watu ujue imeshikwa pabaya. Chadema ni tishio kwa CCM
 
Kwann kafulila apewe ofa kipindi hichi ambacho hana faida wala kikwazo kwa chama tawala. Vipi nyalandu nae alipewa sh ngap kuhami cdm?
Kafulila ni mwanasiasa potential na mwenye uwezo mkubwa kuliko unavyomfikiria kwamba hana faida. When tasked Kafulila can accomplish any mission. Ana uwezo wa kuelewa na kuwasilisha ana uwezo wa kucheka na kulia in public. Usimchukulie poa kwa kuwa tu si mbunge kwa sasa.
Umapoongelea wanasiasa katika safu ya ushambuliaji Kafulila huwezi ukamuweka pembeni, Kafulila ni zaidi ya nyarandu katika eneo hilo.
 
Huyo dada akikubali pressure za siasa kuharibu ndoa atakua hajui ndoa ni nini na atachuma dhambi bure ya kuvunja sakramenti ya ndoa. Asichukulie siasa kuwa maisha kwa kiwango hicho. Naamini hili halitawayumbisha ....akajifunze kwa Mama Lowasa na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda Chadema.
Anapeleka siasa hadi kwenye maisha ya ndoa.ila sawa ngoja tuone nini kitafuata baada ya hili
 
Ni ushamba na ujinga mke kutumia surname ya mumewe. Mimi shemeji yenu nilimwambia mimi si baba yake hivyo sioni umuhimu wa yeye kutumia surname yangu na mambo yanakwenda vizuri tu.
 
Hizo siasa zilikua enzi zileee,siku hizi hakuna kitu kigumu kama siasa za kafulila na wenzie. Kafulila kaisha na huo ndo ukweli. Hata zitto nae kapoteza nguvu kubwa ya ushawishi.
Kafulila ni mwanasiasa potential na mwenye uwezo mkubwa kuliko unavyomfikiria kwamba hana faida. When tasked Kafulila can accomplish any mission. Ana uwezo wa kuelewa na kuwasilisha ana uwezo wa kucheka na kulia in public. Usimchukulie poa kwa kuwa tu si mbunge kwa sasa.
Umapoongelea wanasiasa katika safu ya ushambuliaji Kafulila huwezi ukamuweka pembeni, Kafulila ni zaidi ya nyarandu katika eneo hilo.
 
Huyo dada akikubali pressure za siasa kuharibu ndoa atakua hajui ndoa ni nini na atachuma dhambi bure ya kuvunja sakramenti ya ndoa. Asichukulie siasa kuwa maisha kwa kiwango hicho. Naamini hili halitawayumbisha ....akajifunze kwa Mama Lowasa na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda Chadema.
Acha u yuda wewe usifikiri kila mtu anapapatikia chiu au mhogo kama babu mihogo!!!

Hata Mimi ningekua mwanamke nisingekubali kuwa na mwanaume kinyaa type ya huyo kafulila
 
Huwezi mlinganisha shoza na lowassa au sumaye. Shoza hakupewa ugombea urais au ubunge wa jimbo. Hapo hujamtaja bulaya huyu ndo saiz kidogo ya shoza.
Vipi Ccm na Shoza?
 
Njaa hizi tunapoziendekeza zitaharibu hata mahusiano mazuri katika familia zetu. Jee ndugu, jamaa na marafiki nao wanalichukuliaje jambo hili ingawa ni la binafsi?
Ikumbukwe kuwa hata shetani anapokushauri utende jambo baya huwa hafikirii utawaumiza wanaokuhusu kiasi gani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyo dada akikubali pressure za siasa kuharibu ndoa atakua hajui ndoa ni nini na atachuma dhambi bure ya kuvunja sakramenti ya ndoa. Asichukulie siasa kuwa maisha kwa kiwango hicho. Naamini hili halitawayumbisha ....akajifunze kwa Mama Lowasa na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda Chadema.

swadaktaa akajifunze kwa MTAZAMO na hasa kama ilikuwa rahisi kwake kuungana na mzee kwenda CANADA
 
Huwezi mlinganisha shoza na lowassa au sumaye. Shoza hakupewa ugombea urais au ubunge wa jimbo. Hapo hujamtaja bulaya huyu ndo saiz kidogo ya shoza.
Kubali ukweli chadema inajiua yenyewe kutegemea kupokea wanachama wa ccm na kuwapa vyeo vikubwa
Nilijibu kulingana na kauli yako hiyo! Naona unabadili gea angani.
 
Mbunge wa viti maalum Chadema ambaye pia ni mke wa David Kafulila Mh Jesca Kishoa amebadilisha jina kwenye profile yake badala ya kuwa #Jesca_Kishoa_Kafulila na kuwa #Jesca_Kishoa mi sijaelewa maana yake!

1512d5e7df95c8ceec3529687965a531.jpg
Link ya FB hii hapa Jesca Kishoa
 
Mbona majibu yangu hayana mabadiliko.shoza kaingia ccm hakupewa cheo moja kwa moja,angalia bulaya,lowassa,sumaye halafu uje uniambie nilichobadili
Nilijibu kulingana na kauli yako hiyo! Naona unabadili gea angani.
 
Kwenye Ndoa ni lazima kutenganisha Maisha ya Ndoa na Maisha ya Kazi.., Sidhani kama hadi wao kufikia maamuzi ya kuingia kwenye Ndoa Siasa zilihusika, hivyo si vyema Siasa zikafanya Ndoa yao ivunjike!!!
 
Kuna wanawake wanaamini kuwa waume zao wanajigeuza kitandani sio kwenye kauli zao. Hivyo ukigeuza kauli unashudhiwa credibility yako na kudharauliwa naye pia anajisikia vibaya kukuamini usiyeaminika
 
Kwann kafulila apewe ofa kipindi hichi ambacho hana faida wala kikwazo kwa chama tawala. Vipi nyalandu nae alipewa sh ngap kuhami cdm?
unaelewa maana ya neno Assume????
 
unafikiri atabaki huko.......subiri....... chadema waendelee kuficha malazi watajuta
 
Back
Top Bottom