Mke wa Kaka hataki kunifulia nguo

Mke wa Kaka hataki kunifulia nguo

Chai na matikiti
Red-Jubliee-Banner.jpg
 
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
Mada nyingine kama hizi hazina hata haja ya kujib
 
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
Wewe ni poyoyo mkuu
 
Luku imeisha juu huko .
Au mvua zinapiga king'amuzi ?
 
baada ya kumaliza mtihani wa form 4 nikaomba nikapumzike kwa kaka town. sasa nimeshangaa wakati wa kufua nguo zangu siombwi kwa ajili ya kufua, huu ni utaratibu wa wapi? huyu shem hajui kua sisi ni brothers? nawaza nimulize ila naogopa fulani hivi. naomba ushauri wakuu
We bwege Nini!Mimi zangu mwenyewe nafua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom