GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kibiko kumbe alikuwa kiboko kwa mengiFanyeni upesi kwani ama Usiku huu wa Leo au Kesho hatokuwa tena Ardhi ya Tanzania.
Msije kusema GENTAMYCINE sijawaambia. Na mkimkamata mwambieni nchi ya Jirani aliyokimbilia Mumewe.
Kafanya Dhambi kubwa sana kwa Watanzania Masikini kwa Kuwadhulumu, Kuwadanganya, Kulala na Wake za Watu huku pia Akiwaambukiza Visivyotibika na WHO hadi sasa.
Kazi Kwenu Serikali, Polisi, Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa. Nimeshamaliza jukumu langu kama Mzalendo Halisi wa Afrika Mashariki na Kati.
na kuna watanzania bado wanaandamana kabisa kwa sababu yake.Kuna jirani aliwahi kunisimulia habari za huyo kiboko ya wachawi ila sikumwanini na sikuchukulia maanani. Kumbe kweli watu wanapigwa kwa kumwamini. Bado tuna safari ndefu sana kifikra.
Hivi zinaruhusiwa kwa mujibu wa sheria ipi?mkewe ni mtanzania au mcongo? ili tujue kama anaishi hapa na kufanya kazi za uganga wa kienyeji kwa mujibu wa sheria.
Alishaukwaa Dally Kimoko na Kawapigia wengi tu Gitaa lake la Solo pale Kanisani Kwake kwa Upumbavu Wao na Tamaa zao za Kishamba.Kibiko kumbe alikuwa kiboko kwa mengi
Huku baadhi yao akiwa Ameshawaambukiza pia.na kuna watanzania bado wanaandamana kabisa kwa sababu yake.
Na alivyokuwa wa Ajabu na Mchawi kweli unaambiwa kuna Wengine alikuwa akiwakazia Ofisini mwake vile vya Fasta Fasta akiwadanganya kuwa akiwapitishia Mkuyenge / Mkurudungu wake basi atawapa Nyota za Kupendwa na Kuolewa na Wanaume Wabishi wa Kuoa kama akina GENTAMYCINE.Mpaka akili ziwakae sawa mtakuwa mmechakaa
eNa alivyokuwa wa Ajabu na Mchawi kweli unaambiwa kuna Wengine alikuwa akiwakazia Ofisini mwake vile vya Fasta Fasta akiwadanganya kuwa akiwapitishia Mkuyenge / Mkurudungu wake basi atawapa Nyota za Kupendwa na Kuolewa na Wanaume Wabishi wa Kuoa k kama akina GENTAMYCINE.
Nani sasa Mimi niliye Uganda au hao Waumini wake? Hapa nawasaidia tu na Taarifa zote nazipata kutoka kwa Watu Wawili Waaminifu kutoka mahala fulani panapoaminika Tanzania.Mkomee kuparamia paramia makanisa
Kawaambukiza sana ukimwiHuku baadhi yao akiwa Ameshawaambukiza pia.