Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Mke wake anaweza kuhojiwa kama shahidi tu kama hao wajinga walioliwa kimasihara walivyohojiwa kama mashahidi ila ukimkamata hakuna offence yoyote unayoweza kumshitaki nayo .Akamatwe kwani anawasiliana nae kila mara kwa Simu kujua yanayoendelea huku Mkewe sasa akihangika kuhamisha Fedha zake kutoka katika Benki moja Kubwa na Maarufu ya Tanzania.
Walioliwa kimasihara wataendelea kuliwa hivyohivyo maana wajinga ni chakula cha wajanja