Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

Nani sasa Mimi niliye Uganda au hao Waumini wake? Hapa nawasaidia tu na Taarifa zote nazipata kutoka kwa Watu Wawili Waaminifu kutoka mahala fulani panapoaminika Tanzania.

Na baadae nakuja na Exclusive yake nyingine hivyo Usibanduke hapa JamiiForums na kwa hii ID kwani Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na hakuna wala hakutotokea mwingine.
Hakuna copy mkuu g og yuko mmoja tu mpwaaaaa
 
Ni kinyume na sheria kumkamata maana muhalifu siyo yeye ila ni mume wake anaepaswa kukamatwa ni mume wake
 
Fanyeni upesi kwani ama Usiku huu wa Leo au Kesho hatokuwa tena Ardhi ya Tanzania.

Msije kusema GENTAMYCINE sijawaambia. Na mkimkamata mwambieni nchi ya Jirani aliyokimbilia Mumewe.

Kafanya Dhambi kubwa sana kwa Watanzania Masikini kwa Kuwadhulumu, Kuwadanganya, Kulala na Wake za Watu huku pia Akiwaambukiza Visivyotibika na WHO hadi sasa.

Kazi Kwenu Serikali, Polisi, Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa. Nimeshamaliza jukumu langu kama Mzalendo Halisi wa Afrika Mashariki na Kati.
Huyo mkewe kakosa nini?
 
serikali ifreeze pesa zake haraka. kama kuna wahusika humu ndani washughulikie haraka. freeze hizo account.
inakuwaje mchawi anakuja kupiga pesa hapa halafu anaondoka nazo wakati tunaona? huko congo wanasema alikimbia baada ya kufanya maajabu, akaona Tanzania ni chaka la bibi. na kweli kapiga na kadanganya watu hadi waliokuwa viongozi.
 
serikali ifreeze pesa zake haraka. kama kuna wahusika humu ndani washughulikie haraka. freeze hizo account.
Mkuuu kama uaminii before hili tukiooo wakishafanya haya mkuu ..serkl inamkono mrefu
 
Kawachapa nao kweli kweli Wake za Watu na Mabinti wa Vyuo Vikuu. Ole wao TACAIDS mwaka huu waje na Takwimu chache za Maambukizi ya UKIMWI Mkoani Dar es Salaam hasa Wilaya ya Temeke.
😂😂😂😂😂Ila alikuwa anawalazimisha Kwan mkuu au walikuwa wanataka miujizaa ..hvyo wakakubali kuvua Pichu,na usikute na Kuna wanaume pia wamevuliwa ubingwaaa
 
Back
Top Bottom