Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

Hiyo imeenda kabisa aisee! Huyu jamaa ni mpumbavu sana hana akili hata kidogo wewe muone hivyo. Anawanunua watu wa kufanya ushuhuda wa uwongo kanisani kwake ili avune pesa huku akijua kwamba anawahadaa watanzania ili awavune pesa bila sababu za msingi.
Tulia wewe hii dunia wajinga ni wengi sana kwan walishikiwa fimbo waende huko
 
Fanyeni upesi kwani ama Usiku huu wa Leo au Kesho hatokuwa tena Ardhi ya Tanzania.

Msije kusema GENTAMYCINE sijawaambia. Na mkimkamata mwambieni nchi ya Jirani aliyokimbilia Mumewe.

Pia soma: Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Kafanya Dhambi kubwa sana kwa Watanzania Masikini kwa Kuwadhulumu, Kuwadanganya, Kulala na Wake za Watu huku pia Akiwaambukiza Visivyotibika na WHO hadi sasa.

Kazi Kwenu Serikali, Polisi, Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa. Nimeshamaliza jukumu langu kama Mzalendo Halisi wa Afrika Mashariki na Kati.
Uko saa sahihi

USSR
 
😂😂😂😂😂Ila alikuwa anawalazimisha Kwan mkuu au walikuwa wanataka miujizaa ..hvyo wakakubali kuvua Pichu,na usikute na Kuna wanaume pia wamevuliwa ubingwaaa
Mbona wengi wamevuliwa ubingwa popoma akiwa mmojawapo
 
Tulia wewe hii dunia wajinga ni wengi sana kwan walishikiwa fimbo waende huko
Hawajashukiwa fimbo bali waneenda pale kwa sababu ya ujinga wao mkuu. Na haya mambo ndiyo serikali ya CCM inapenda ili iendeleee kuitawala milele.
 
Nisawa sababu ni mkewe ni manifa iks wa Hela za wozi kwa njia ya ulaghai śliżowi iwa watu mume wake.

Kwa hiyo aisaidie polisi mtuhumiwa alipo aje kujibu tuhuma zake haraka iwe fundisho.
 
Back
Top Bottom