Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

Mke wa Kiboko ya Wachawi akamatwe haraka, yuko mbioni kutoroshwa kimafia na wajanja

Akamatwe kwani anawasiliana nae kila mara kwa Simu kujua yanayoendelea huku Mkewe sasa akihangika kuhamisha Fedha zake kutoka katika Benki moja Kubwa na Maarufu ya Tanzania.
Mke wake anaweza kuhojiwa kama shahidi tu kama hao wajinga walioliwa kimasihara walivyohojiwa kama mashahidi ila ukimkamata hakuna offence yoyote unayoweza kumshitaki nayo .

Walioliwa kimasihara wataendelea kuliwa hivyohivyo maana wajinga ni chakula cha wajanja
 
0744 184 460
Kajisajili na jina Hassan wamba
Mkifika kama n maombi anakwambia tuma hela anakupa namba nyingine ina jina la Dominic

Shetan kuwa malaika dk 0

M nilimwonyaaaa april hii namba nilipata kwa past mmoja hukokwake

Hii naamba ndio anatumia kutongozea wake za watu kama amuwamini serikali ikacheki msg za hiii nambaaaa niko pale kwa wakala.....

Akajibu shit nkamwambia Mungu adhihakiwi kama ndugu wa karibu naona anguko kubwa sana mbele yako usipobadilika hata watu wa karibu yako watakukiimbia

Hakuamin akaanza past mmoja mmoja kutoka benz

Sasa hili lajuzi nkamusms Al hajjj kwemaaaa vipi unakumbuka msg zanguu za April 10 mpaka 16??

Huu n mwemdelezo tu unakumbuka

Past
A
B
C
D wako wapi

Soma nilichoandika ajajibu mpaka sasa
 
Kuna jirani aliwahi kunisimulia habari za huyo kiboko ya wachawi ila sikumwanini na sikuchukulia maanani. Kumbe kweli watu wanapigwa kwa kumwamini. Bado tuna safari ndefu sana kifikra.
Poleni sana

Ova
 
inakuwaje mchawi anakuja kupiga pesa hapa halafu anaondoka nazo wakati tunaona? huko congo wanasema alikimbia baada ya kufanya maajabu, akaona Tanzania ni chaka la bibi. na kweli kapiga na kadanganya watu hadi waliokuwa viongozi.
Umenikumbusha hii ya Masha
 
all n all

uMASIKINI SHETANI MKUBWA SANASANAA

WAKE ZAWATU WAMELIWA SANA

WATOTO WA CHUOO WAMELIWA SANA

WAKIAMINISHWAAA KUPATA HELAAA KIRAHISI

MENGINE YAJAYO YANAFURAHISHA
 
Back
Top Bottom