Tulia wewe hii dunia wajinga ni wengi sana kwan walishikiwa fimbo waende hukoHiyo imeenda kabisa aisee! Huyu jamaa ni mpumbavu sana hana akili hata kidogo wewe muone hivyo. Anawanunua watu wa kufanya ushuhuda wa uwongo kanisani kwake ili avune pesa huku akijua kwamba anawahadaa watanzania ili awavune pesa bila sababu za msingi.
Uko saa sahihiFanyeni upesi kwani ama Usiku huu wa Leo au Kesho hatokuwa tena Ardhi ya Tanzania.
Msije kusema GENTAMYCINE sijawaambia. Na mkimkamata mwambieni nchi ya Jirani aliyokimbilia Mumewe.
Pia soma: Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali
Kafanya Dhambi kubwa sana kwa Watanzania Masikini kwa Kuwadhulumu, Kuwadanganya, Kulala na Wake za Watu huku pia Akiwaambukiza Visivyotibika na WHO hadi sasa.
Kazi Kwenu Serikali, Polisi, Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Taifa. Nimeshamaliza jukumu langu kama Mzalendo Halisi wa Afrika Mashariki na Kati.
Walivua chup wenyewe Kwan walishikiwa kisu kuvuaKawaambukiza sana ukimwi
Mbona wengi wamevuliwa ubingwa popoma akiwa mmojawapo😂😂😂😂😂Ila alikuwa anawalazimisha Kwan mkuu au walikuwa wanataka miujizaa ..hvyo wakakubali kuvua Pichu,na usikute na Kuna wanaume pia wamevuliwa ubingwaaa
Hawajashukiwa fimbo bali waneenda pale kwa sababu ya ujinga wao mkuu. Na haya mambo ndiyo serikali ya CCM inapenda ili iendeleee kuitawala milele.Tulia wewe hii dunia wajinga ni wengi sana kwan walishikiwa fimbo waende huko
Ubaya ubwela tuuHawajashukiwa fimbo bali waneenda pale kwa sababu ya ujinga wao mkuu. Na haya mambo ndiyo serikali ya CCM inapenda ili iendeleee kuitawala milele.