Mke wa mchungaji ananitia majaribuni, ama kwa hakika vijana tukatae ndoa. Ndoa ni utapeli

Unawajua Gen Z wewe? Au unafikri kila kijana ni Gen Z?
 


Haya mashetwani yote yapo Hivyo!
 
Alichoandika Mtoa Mada ndo hali halisi ya hawa wanawake tunaowao, Waongo, wanafiki, washenzy,

Si support kukataa ndoa, ila wakataa ndoa wasikilizwe!
 
Wanawake wengi ndio wapo ivyo juzi kati kuna mjuba kaleta uzi hapa kuna kadada kameolewa mume wake kagundua chatingi za sms analiwa kisamvu na dogo fulani aya yote ni mapichapicha ya wanawake ndio mana maandiko matakatifu yanasema tuishi nao kwa akili nyingi sana ivyo usishangae huko makanisani kupelekeana moto ni kawaida sana
 
Bila screenshot na namba yake ili tumuulize basi huu uzi batili na siamini haya uliyoyasema.
 
Uko wapi mwanakondoo....
 
Ningetaka kumchafua mtu ningeweka chat history na mapichapicha yake ya hovyo ambayo huwa ananitumia. Nimeamua kuleta huu uzi ili kuonyesha mauchafu wanayowafanya wake zenu wakati ninyi mnateseka kuwatafutia chakula.
Weka chats vinginevyo huu ni uji wa lishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…