Mkuu,Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
Safi sana nategemea kukuona katika jopo la watoa ushahidiHata mimi ninao
Lissu yuko wapi, Nani alimhamasisha? ukiamua wewe kuishi kikondoo ishi hivyo, usijaze watu uoga wako, Magufuli aliua Wangapi na leo yuko wapi, ndio itakuwa huyu?Brother acheni propaganda zenu mnawahamasisha wenzenu kufanya uanaharakati matokeo yake wanauliwa kikatili halafu familia zao mnazitekekeza kama mlivyofanya kwa familia ya Alfonse Mawazo huku Busanda. Hii sio sawa
Somesha watoto wa mdude, Peleka hata sukari au chumvi kwa mke wa mdude.Mkuu,
Bila ya uanaharakati hata wewe usingekuwa na uhuru wa kuandika ovyo hapa JF.
Kufa Kila mmoja atakufa tu, issue ni unakufaje?Lissu yuko wapi, Nani alimhamasisha? ukiamua wewe kuishi kikondoo ishi hivyo, usijaze watu uoga wako, Magufuli aliua Wangapi na leo yuko wapi, ndio itakuwa huyu?
Ingekuwa sahihi kamati nzima ya ulinzi ya mkoa,ndio inajua alipo mdudeDah! Kamuachaje rc? tena hawa angewafungulia kwa majina yao tu, na kila aliyeongea matope anaunganishwa tu mradi ilisikika kwa vyombo vya habari!
we unafikilia damu inaenda bure ? eeeeh tatizo hawajui ukiua nawe lazima uuawe iyo ndiyo universe law ... hakuna kukimbia hata uwe na cheo ganiHasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
Kwanza kabisa mimi simuachii Mungu kwa sababu siamini Mungu yupo.Somesha watoto wa mdude, Peleka hata sukari au chumvi kwa mke wa mdude.
Mnawahamasisha wenzenu wakifa mnabaki kumuachia Mungu
Hii itasaidia kwa namna yyt ile kusomesha watoto wake?we unafikilia damu inaenda bure ? eeeeh tatizo hawajui ukiua nawe lazima uuawe iyo ndiyo universe law ... hakuna kukimbia hata uwe na cheo gani
Hakuna kumwachia Mungu tena.. Wala kuishi kinyongeNimeona baadhi ya Nyaraka za kesi hiyo zikiwaanika watuhumiwa hao
Pia, Soma
Ushahidi kama anao ndio wa kuupeleka ili ukubaliwe. Unaposhitaki unatakiwa kuwa na ushahidi.
Shida inaanzia hapo.
Kwanza kabisa mimi simuachii Mungu kwa sababu siamini Mungu yupo.
Pili sina mwenzangu. Kiranga is a singularity.
Tatu, hujajibu hoja kwamba bila wanaharakati hata wewe usingekuwa na nafasi ya kuandika maneno ya ovyo hapa JF
Familia ya Mdude unaisaidiaje?Kwanza kabisa mimi simuachii Mungu kwa sababu siamini Mungu yupo.
Pili sina mwenzangu. Kiranga is a singularity.
Tatu, hujajibu hoja kwamba bila wanaharakati hata wewe usingekuwa na nafasi ya kuandika maneno ya ovyo hapa JF.
Kenya mkuu wa polis anaachia ngazi,yule aliyefanya kitendo kile anakamatwaKama Kenya 🐼
Kuna watu hawafanyi harakati, bali hufuatwa, na kuporwa mali zao na kuuawa wakisingiziwa kuwa ni majambazi, hao nao wanapinzwa na nani? Vipi wanaouawa kwa hospitali kutokuwa na wataalamu au kwa kukosa dawa?Brother acheni propaganda zenu mnawahamasisha wenzenu kufanya uanaharakati matokeo yake wanauliwa kikatili halafu familia zao mnazitekekeza kama mlivyofanya kwa familia ya Alfonse Mawazo huku Busanda. Hii sio sawa