Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Ndio, so aliyepewa gari na jeshi ni mwanae, sema wabongo wameanza kupotoshaHii imenyooka sana
Ndio, so aliyepewa gari na jeshi ni mwanae, sema wabongo wameanza kupotoshaHii imenyooka sana
So naye mama automatic anakuwa ni mjeshi?? Kwamba wazazi woote Tz wenye watoto wajeda siku wakifariki nao watapewa huduma ya kijeshi...unamaanisha hivyo mkuu??Mwanae mjeshi Tabora
Unaingiaje bila connection mkuu. Kama taifa tumefika sehemu mbaya sana.Nakumbuka mwanae tulikuwa tunafanya usaili wa jkt pale ilala boma mwaka 2020 nahisi alipita ila wengine tulitupwa nje mapema sana
Kufa na wewe kesho, uone kama utabebwa na gari ya jwtz!!JWTZ ni jeshi la wananchi. Kuna ubaya mwananchi akibebwa na magari ya JWTZ we zouzou?
Sasa ataonaje mkuu, wakati tayari kafa!?Kufa na wewe kesho, uone kama utabebwa na gari ya jwtz!!
Wanatoa huduma ya usafiri tu na sio mazishi ya kijeshi .elewa basi we FalaSo naye mama automatic anakuwa ni mjeshi?? Kwamba wazazi woote Tz wenye watoto wajeda siku wakifariki nao watapewa huduma ya kijeshi...unamaanisha hivyo mkuu??
Tatizo la ndege unakuwa kifurushiKifo ni KIFO tu ...hata ubebwe na
boing 737 Emirates
Kuna mahali nimesoma kwamba mtoto wake wa kwanza ni mwanajeshi..so kama ni kweli basi ni utaratibu wa jeshi kutoa gari na huduma nyingine kwa mwanajeshi aliyefiwa na mtu wake wa karibu.Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz.
Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
Marupurupu ya Jeshi ni pamoja na jeshi kuhudumia mzazi akifarikiSo naye mama automatic anakuwa ni mjeshi?? Kwamba wazazi woote Tz wenye watoto wajeda siku wakifariki nao watapewa huduma ya kijeshi...unamaanisha hivyo mkuu??
Haujatoa sababu iliyoshiba 'kujaziliza' hoja ya mtoa mada!JWTZ ni jeshi la wananchi. Kuna ubaya mwananchi akibebwa na magari ya JWTZ we zouzou?
Ndo atajua hapo hapo!Sasa ataonaje mkuu, wakati tayari kafa!?