haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.
Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku.
Mi hua nnamua tu nikitaka nimshtue kidogo naenda mwenyewe dukani kwakwe. Imagine uzuri wako inakua mateso ya mtu.
Nataka siku niende kanisa analo sali yeye kisha nakaa column ya pembeni yake nione itakuje, just for fun. Cha msingi siwez kuchepuka na mke wa mtu maana wanaonitaka ni wengi.