Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Ebu weka picha yako.......
Bila Ivo chai kama jamii Afrika tukupitishe hb wa forum.....
Bila Ivo chai kama jamii Afrika tukupitishe hb wa forum.....
Usikute anakutega tu, alishakushitukia hauna nguvu za kiume.......si unaishi Dar wewe? Dar wanaume wa kimoja tu chaliiii na wale wanaopakatwa na wenzao huku wakiminywa mapumbu wamejazana mno, karibia kila mtaa wapo na wana vyama vyao pia.Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.
Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku.
Mi hua nnamua tu nikitaka nimshtue kidogo naenda mwenyewe dukani kwakwe. Imagine uzuri wako inakua mateso ya mtu.
Nataka siku niende kanisa analo sali yeye kisha nakaa column ya pembeni yake nione itakuje, just for fun. Cha msingi siwez kuchepuka na mke wa mtu maana wanaonitaka ni wengi.
Ni kijana wa Dar huyo, wanaoa kwa jailli ya wenzao kama Jux vile. Kutwa kutwa mtu anashindwa kwenye kioo kujifananisha na mkewe, akitoka hapo anakwenda nyumba ya jirani kupakatwa na mwanamme mwenzake na ndiyo maana nyege haziwaishi wanawake waliolewa.Wapaka poda mna nini lakini? Kabisa unajisifu eti mzuri wa sura jamani mnatia kinyaa bhana
Hawezi, huyo ni Aunty Muddy tu au Juma Lokole mwingine anayekuja juu humu JF.Ebu weka picha yako.......
Bila Ivo chai kama jamii Afrika tukupitishe hb wa forum.....
Hahahahaha,mamboMwanaume anayejisifu eti ye handsome mara nyingi huwa ni "apeche alolo,hali jojo mbe"hapo unataka kitonga uwe unapata vimichele vya bure kwa dada wa watu
HahahahahaSawa....kama ni rijali basi angalia kauli zako unazoongea zinakushusha credit
Huna akiliNikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.