Epuka kujitia majaribuniNikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.
Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku.
Mi hua nnamua tu nikitaka nimshtue kidogo naenda mwenyewe dukani kwakwe. Imagine uzuri wako inakua mateso ya mtu.
Nataka siku niende kanisa analo sali yeye kisha nakaa column ya pembeni yake nione itakuje, juat for fun. Cha maingi siwez kuchepuka na mke wa mtu mana wanaonitak ni wengi.
Siku akija kujuwa kuwa we ni Walinazi atawaambia mashoga zake wote hapo mtaani aise.Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.
Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku.
Mi hua nnamua tu nikitaka nimshtue kidogo naenda mwenyewe dukani kwakwe. Imagine uzuri wako inakua mateso ya mtu.
Nataka siku niende kanisa analo sali yeye kisha nakaa column ya pembeni yake nione itakuje, juat for fun. Cha maingi siwez kuchepuka na mke wa mtu mana wanaonitak ni wengi.
Badala ujionee huruma wewe eti unamuonea huruma mke wa jamaa. Huoni kama wewe ndio upo hatarini kutatuliwa kama pazia la hekaluNikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.
Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku.
Mi hua nnamua tu nikitaka nimshtue kidogo naenda mwenyewe dukani kwakwe. Imagine uzuri wako inakua mateso ya mtu.
Nataka siku niende kanisa analo sali yeye kisha nakaa column ya pembeni yake nione itakuje, juat for fun. Cha maingi siwez kuchepuka na mke wa mtu mana wanaonitak ni wengi.
Hamna mchapaji hapoMchape haraka sana huyo mwanamke.
Mkuu ulipewa na Mungu hiyo rungu siyo uwe unaibania.
AsanteHuu mwandiko na unayosema havina uhusiano.
Tena majaribu nyumba ya ibada!Epuka kujitia majaribuni
🙌🙌mchapaji nae anataka kuchapwa.Hamna mchapaji hapo
Wanaokutaka ni wengi, vile vile watakaokuzika ni wachache na kinyume chakeNikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.
Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku.
Mi hua nnamua tu nikitaka nimshtue kidogo naenda mwenyewe dukani kwakwe. Imagine uzuri wako inakua mateso ya mtu.
Nataka siku niende kanisa analo sali yeye kisha nakaa column ya pembeni yake nione itakuje, juat for fun. Cha maingi siwez kuchepuka na mke wa mtu mana wanaonitak ni wengi.
Uzi ufungwe!!Mwanaume anayejisifu eti ye handsome mara nyingi huwa ni "apeche alolo,hali jojo mbe"hapo unataka kitonga uwe unapata vimichele vya bure kwa dada wa watu
Daah mwanaume anasema ye mzuri. Nyavu zipo salama?Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana.