Mke wa mtu ame “crush” kwangu hadi namuonea huruma.

Nataka siku niende kanisa analo sali yeye kisha nakaa column ya pembeni yake nione itakuje, juat for fun. Cha maingi siwez kuchepuka na mke wa mtu mana wanaonitak ni wengi.
Hii paragraph ya mwisho ndio imeku-expose kuwa huna tofauti na ngofa inayokunya huku imelala
 
Mwanaume anayejisifu eti ye handsome mara nyingi huwa ni "apeche alolo,hali jojo mbe"hapo unataka kitonga uwe unapata vimichele vya bure kwa dada wa watu
Mimi sio marioo wewe, ni mwanaume rijali
 
Hii paragraph ya mwisho ndio imeku-expose kuwa huna tofauti na ngofa inayokunya huku imelala
I meant to say “just foe fun…” I was busy. We unafatilia vitu vidogo utakua ume left group wewe
 
Chunga sana ...kijana watalamba kitoa haja kubwa
 
Hua Wana shawishi hao
 
Kumsaidia amove kaa nae mbali hata dukani kwake usiende . Epuka kuonana nae kabisaaaaa
 
Mwambie asubirie Israel imalize kazi huko Iran alafu muendelee, ila na wewe nyoko sana andaa tigo maana utaliwa lazima, mke wa mtu sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…