Mke wa mtu ameniota

Mke wa mtu ameniota

Hiyo ya mwizi nimeipenda naona leo nimepita tena kaongeza na kurembua macho. Angejua kuwa nimemuanzishia uzi huku ...........
Ooh... Lord,have mercy! Ameanza marembuzi? Fanya hivi:Funga kula siku tatu mfululizo. Piga maombi makali. Kemea. Kumbuka,wakati huo chakula chako kiwe maji na tende tu nyakati za jioni tu. Utashinda.
 
Ooh... Lord,have mercy! Ameanza marembuzi? Fanya hivi:Funga kula siku tatu mfululizo. Piga maombi makali. Kemea. Kumbuka,wakati huo chakula chako kiwe maji na tende tu nyakati za jioni tu. Utashinda.
Mkuu asante kwa ushauri ntafanyia kazi maana kaomba na namba ya simu ili nikipotea anitafute.
 
Kitendo cha kubaini kuwa huo ni mtego bora uuache...ni heri kuonekana kuwa mjinga kwa mtazamo wa mtu mmoja au 2 na kuuonekana mwerevu kwa watu wengi zaidi, utajijengea heshima na baraka mbele za Mungu.
 
Yote yanaweza kuwa sahihi inawezekana pia huyo mama anajaribu kujenga mazoea ya kiutani kwa njia hiyo.... au anahisi pia ni njia ya wewe kuwa mteja wa kudumu.... Ungeendelea kununua mahitaji yako hapo ukiona vimezid uchukue hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Kwa kweli wake za watu nawala Sana, Mimi sikopeshi, ukinilegezea uno nalikaza kama kawa, mambo ya fumanizi ni ajali kazin, kwenye kisa chako ningekuwa Mimi ningemla humo humo supermarket alaf nakula winga masaaa...nakuwa namla bila yeye kutegemea, Ila nataka niache Kula hawa wake za Mabaharia sema wanatongoza Sana hasa wakiona we handsome na unapendeza ,
 
Sasa mbona mimi nimewahi kumuota Diiiisiiii mmoja hivi mdogo kuwa namgegeda tena siyo mara moja.Halafu ukizingatia nimeoa eti,hivyo vitu vinatokea sana kwenye ndoto
 
Kwa swali la kwamba mwanamke anaweza kumuota mtu mwengine wakati kalala na mumuwe,naona umeuliza kama mtoto wa std 3,ila kwa swali la kwamba huyo mama anakunyemelea akunase at least umeuliza kama mtu mzima
 
Kama mada inavyojieleza wadau. Nina rafiki yangu ambaye anamiliki Mini supermarket. Na pale amemuweka mke wake aisimamie. Mara kwa mara mimi hufika pale kwa ajili ya kufanya manunuzi na kumuungisha rafiki yangu. Kama mwezi mmoja uliopita huyu mama ambaye ni shemeji akaniambia shemeji leo nimekuota. Nikachukulia ni hali ya kawaida ya mfanyabiashara kuvutia mteja. Siku tatu baadae wakati nalipia manunuzi yangu akaniambia tena huku akishangaa na kuniuliza, inakuaje niote nafanya mapenzi na wewe wakati nimelala na mume wangu? Mara ya pili sasa nakuota. Kwa jinsi nilivyo mstaarabu nikaazimia kuacha kufika dukani hapo. Sasa juzi rafiki yangu akaniuliza shehe mbona umeacha kuniungisha shemeji yako anasema hakuoni siku hizi. Au umepata sehemu yenye huduma bora kuzidi kwetu? Nikamwambia nachelewa kutoka kazini. Tukaishia hapo. Sasa maswali ninayojiuliza na kuomba msaada kwa wadau ni haya. Inawezekana kweli mwanamke akamuota mwanamme mwingine wakati amelala na mumewe? Na inawezekana kuwa huyo mwanamke ametamani kuchepuka na mimi na akaamua kutunga uongo ili aninase kirahisi? Na swali la tatu ni je hakuna uwezekano kuwa hiyo ni mpango uliopangwa baina ya wawili hao ili wanifumanie na kunichomoa kiakiba changu? Naomba kuwasilisha..
Mtego huo
 
Back
Top Bottom