Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

Shetani katika uhalisia wake maana yeye ni mdanganyifu. Huyo shetani mwanamke anataka kukuangamiza. Ninakushauri achana naye kabisa na usiendelee kufanya bihashara naye.
 
MWANAKULIFIND MWANAKULIGET

"mke wa mtu sumu usijaribu chombeza yatakuja yakukute usioyategemea....." ALISIKIKA CHIZI MMOJA AKIIMBA PALE MAKONDEKO GUEST HOUSE!!!!
 
Mkuu hilo tatizo ukitaka makubwa endelea kudhani huyo mwanamke yuko upande wako siku kikiwaka ndo utajua kwann sumu haionjwi. Acha Upumbavu fanya yaliyo ya msingi hayo mengine mwambie akstafute akina Ray, Hemedi akaigize nao.
 
kwanza unaanzaje kuongea na Nke ya mtu mpaka kufikia huko???...hata kama ni biashara bado akili haikubali.....umeshauriwa usijaribu......kuna wengine watakushangaa kuwa bado hujaosha rungu....blaza NKE ya mutu sio rafiki yako kabisa......bora ukarushe mawe polis post......utatoa rushwa utoke japo na vichapo vya HD utapata.........hevu kuwa wewe halafu usikie tuu KITOBO chako kuna waruwaru anapiga ukucha!!!!! 😎 😎
 
Mwanamke amekosa attention ya mumewe sasa anaitafuta by any means. Usikubali kutumiwa ndugu
 
Back
Top Bottom