Mke wa mtu ananitesa

kuna mpare mmoja kipindi nimemaliza tu chuo, alikuwa ananiletea chakula kwenye hotpot kabisa, tulipanga nyumba moja, anafungua mlango anaweka nyuma ya mlango, ila bwanake alikuwa na sura mbaya kama jamabazi nikaogopa kuuawa, nikaenda kumwambia mumewe ampige stop. hii ilikuwa baada ya kuona ameanza kushambulia hadi mchumba wangu kwa wivu wakati yeye ameolewa. wanawake sometimes wana madhaifu sana. mumewe aliniambia kama ningekuwa nimeshatembea naye nisingemwambia, akaniamini na akasema bora umesema usingesema nikaja kusikia hata fununu tu nisingekuamini na ningekufanyia kitu kibaya.
 
Hivi utajisikiaje siku unaenda kupiga unajikuta k inatema maji mengi kumbe usiku wake jamaa kapiga kimoja hivyo unaogelea kwenye manii ya jamaa.
Pili, vipi ukute jamaa na mkewe ni wagonjwa na wanatumia dawa demu anataka akuambukize mfe wote maana jamaa ana anamchepuko nje.
Tatu, kwa nini wewe Uwe chanzo cha mwanamume mwenzako kudharauliwa na mke aliyemtolea mahari?.
Ushauri; acheni mazoea na wake za watu mademu ni wengi Sana kwa nini kwenda kugalagala kwenye manii ya mwanamume mwenzio?. Hii ni dalili ya kuwa wewe si mwanaume kamili maana mwanaume aliyelamilika anakinyaa hawezi vumilia Malaya.
 
Mke wa mtu ni Sumu Kaa nae mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…