Mke wa mtu ananitesa

Manyanza πŸ™βœŠ
 
Mkuu kimbia mbali na huo msala
 
Mkuu Dexta Usikubali kuingia kwenye hilo jaribu yawezekana huo ni mtihani tu na ukijichanganya utapata sana fedheha. Ishinde tamaa ya mwili. Kama wewe ni Muumini kumbuka kisa cha Yusufu na yule Mke wa Mfalme. Huenda huyo Mwanamke ukimkatalia hilo jambo lake akakudharau na ku kuchukia lakini wewe utakuwa umepata credit kwa uaminifu wako. Potezea tu.
 
Narudia tena... Kimbia kabisa ukimuona badili njia...
 
Ameona ubwege wako ndiyo maana anataka kuchuma. Kama unabisha basi mwambie kama anataka ulale naye basi akupe fedha kidogo. Si anasema mume wake hamridhishi? Basi mwambie wewe utafanya hiyo kazi lakini kwa malipo. Akirudi tena njoo nitukane.
 
Ilikuwa 2010 kadada fulani cheupe kalikuwa mke wa 2 wa jamaa binti bado kadogo kakaningangania kanataka mambo sababu mme kashindwa ila nilikimbia kuliko Yusufu wa kwenye biblia na mke wa Potifa ni miaka kadhaa leo ila ile kitu kimenisaidia na kunipa heshima mpaka leo.
 
Usimzuie mwenzako kwa wivuuu unaambiwa hilo ni bahati imepatikana aiwahi atakosa vya bure
 
BIblia inasema :

"Ikimbieni Zinaa"

Dhambi zingine zote unaamua kuacha, ila zinaa ni tofauti...huwezi kuiacha hasa pale mwili unapohamasika hasa kwa sisi Wanaume, dawa ni kuikimbia kabisa kama Yusuph
 
Usimzuie mwenzako kwa wivuuu unaambiwa hilo ni bahati imepatikana aiwahi atakosa vya bure
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Wewe akili Huna, hivi kwa akili yako timamu kabisa unaweza ukamshauri Kijana mwenzako afanye dhambi?
Huelewi kitu wewe. Kwanza ninayemuonea huruma ni huyo Mwenye Mke maana ni Mwanaume mwenzangu. Hujui maumivu ya mtu kuliwa mke wake.
 
Nachukia mke wa mtu isivyo kawaida. hivi mabinti hawapo tele mtaani mpaka ukaogelee kwenye manii ya mwanamke halali wa mtu?. Alafu ukishamaliza unajisikiaje?. Japo bora demu lonalopigwa na usiowajua inakuwa ni kama usiku wa giza tu ila siku ukigundua huwa tunapiga chini kwa kumwita demu malaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…