Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
VaselineApakwe mafuta yapi, na anamsaidia jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VaselineApakwe mafuta yapi, na anamsaidia jamaa
Wewe unayo mie ndio nilimwita hapa aje ajielezee kwani yeye ni tahira . ?? Hajui huyo nj mke wamtu,??usinidhihaki kwa ajili ya mtu mwingine😂 😂 😂
Wewe akili Huna, hivi kwa akili yako timamu kabisa unaweza ukamshauri Kijana mwenzako afanye dhambi?
Huelewi kitu wewe. Kwanza ninayemuonea huruma ni huyo Mwenye Mke maana ni Mwanaume mwenzangu. Hujui maumivu ya mtu kuliwa mke wake.
Mwenyewe akija kujua tarajia haya:-
1.Kuliwa Kiboga ,uwe unatembea na Ky Jelly kufanya kazi iwe rahisi.
2.Kutiwa ulemavu - kuvunjwa miguu ,mikono ,kukatwa balls,abdallah kichwa wazi
3.Kususiwa Mke ukae nae.
View: https://www.youtube.com/watch?v=OF53Tk1z3Ug
Seriously man umeshindwa ku deal nalo ?Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.
Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.
Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.
Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.
Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
Bado sijamkula tajiri.
Anapigwa tukio na kurekodiwa juuUshahidi wa meseji upo na mawasiliano yapo ,usikute jamaa kashajua anakulia timing tu...Hayo mambo yasikie usiombe yakukute....Siwezi kukwambia uache ila wewe ukiingia kwenye 18 utakuja kujua.
Ni mtu mzima ila shida iliyopo kwake anatamaa na hana maamuzi yule aliyeoo machoni mwake kwa hiyo siku ndio mkeweVijana wenye miaka 29 kushuka chini huwa mnasumbua sana
Kama huyo mume wake hawez kazi kitandani kwa nn anachepuka? Tatizo litakuwa ni mwanamke hapoHabari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.
Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.
Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.
Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.
Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
.HAkuna kitu kizuri kama kuwa huru mkuu, uko njiani kupoteza uhuru wako na kuanza kuishi kama kunguru yaniHabari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.
Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.
Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.
Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu nakimbia kimbia.
Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
Anapigwa tukio na kurekodiwa juu
😄
Kuna clip jamaa amefumaniwa kaletewa wahuni,wanamrekodi,wamemvisha Shanga wanamuambia akatike
Sasa sjui awali huko walipita naye
Ova
Kuwa makini na anus yako 😂😂😂Kalaga baho nipewe pia ushauri.. mana navutiwa sana siku hizi na wake za watu hasa wenye mtoto mmoja mwemye miaka chini ya 10.
Mke nomaHahahaa hatari sana ,ni swala la muda tu kwake,kuna mwingine alionekana ananyonya mashine za wahuni baada ya kufumaniwa ,clip nyingine jamaa anapigwa bapa za upanga huku damu zikimvuja.
Wanawake walio single wapo kibao ila wanaona kama mtelezo kwenda kwa wake za watu kisa tu wametongozwa.
Ukiona mke wa mtu yupo na mwanamme 90% mwanamke ndiyo kataka ,sasa hapo mwanamme inabidi ujiongeze.
Kinachowakuta watu wengi ni fedheha na kuchukuliwa pesa atajufanyabanakupenda siku mumewe akifuma hat sms watakupangia fumaniz hapo ni mawili utawapa Hela au wakudhalilishe hakuna mwanamke anaemfata mwanaume kisa nyege tu na ni mke wa mtu sio kweli Kuna maslahi ameyaona pia kwakoThanks Aaliyyah