Mke wa mtu ananitesa

Mke wa mtu ananitesa

You are not only a human but you are among the world's real human. Asipoufuata huu ushauri shauri zake. Na litakalomkuta sidhani kama ataleta mrejesho humu.
Wanawake ndo tulivo
Hivi mtu anatesekea
Haridhiki kitandani
Sijui mwanaume malaya sijui hanipi matumiz
Anakaa anangoja nn kama sio ni uongo
Hatuna uvumilivu huo 😀
 
Aina ya single mother mtarajiwa anaandaa mazingira,
Yaan kuna wanawake wakishakuwa na watoto wanawaza umalaya tu!
Inanifikirisha sana siku hizi, wanawake walio katika ndoa na wanawake walio katika mahusiano yaliyo strong ndo wamekuwa rahisi kutongozeka, kujirahisi kwa wanaume, kuonesha udhaifu wa wanaume/waume zao kwa michepuko tarajiwa.....??? Tuko ktk kipondi gani hiki, hawaridhiki na waume zao Kila wakati wanatafuta namna ya kuwatega wanaume wa nje. Ukweli ni kwamba ni mara chache na ni wanaume wachache wanaoweza kudhibiti mitego kutoka kwa wanawake hasa wanaoonesha wako ktk ndoa au mahusiano. Hivyo tahadhari inabidi ianzie kwa wanawake kuheshimu ndoa zao na mahusiano Yao na watambue kuwa sisi wanaume pamoja na kuwapata kutokana na mitego/majaribu yao siyo kwamba huwa tunawapa sifa/credit bali huwa tunawachukulia kama dhaifu sana na wanaweza kuwa na Kila mwanaume.
 
Unaweza kupata ulemavu wa kudumu, kupoteza marinda au kuuwawa. Au unaweza kupata vyote vitatu kwa pamoja ukiendelea na huyo mke wa mtu.
 
Kwanini unaleta mazoea na mke wa mtu?
Mwanzoni nilichukulia kama ujirani tu kwasababu muda mwingi nilikuwa nakutana nae hasa nikiwa natoka au narudi kwenye harakati zangu.
 
Naona watu mnapoteza muda, ukishaona mtu anasema kwenye kitu fulani yupo mguu nje, mguu ndani bhasi jua uwezekano wa kutelekeza analolitaka ni mkubwa zaidi

Boss wewe ni mtu mzima na unajua ubaya wa unachotaka kufanya ila hiyo ashki imeshakuzidi uwezo wa kufikiri. Sasa hakuna wa kukukataza, wewe fanya tu ila kuwa tayari kwa lolote litakalokutokea
 
Comment kama hizi ndio zinanifanya nizid kukaa mbali naye.

🙏 Eyce
 
Inanifikirisha sana siku hizi, wanawake walio katika ndoa na wanawake walio katika mahusiano yaliyo strong ndo wamekuwa rahisi kutongozeka, kujirahisi kwa wanaume, kuonesha udhaifu wa wanaume/waume zao kwa michepuko tarajiwa.....??? Tuko ktk kipondi gani hiki, hawaridhiki na waume zao Kila wakati wanatafuta namna ya kuwatega wanaume wa nje. Ukweli ni kwamba ni mara chache na ni wanaume wachache wanaoweza kudhibiti mitego kutoka kwa wanawake hasa wanaoonesha wako ktk ndoa au mahusiano. Hivyo tahadhari inabidi ianzie kwa wanawake kuheshimu ndoa zao na mahusiano Yao na watambue kuwa sisi wanaume pamoja na kuwapata kutokana na mitego/majaribu yao siyo kwamba huwa tunawapa sifa/credit bali huwa tunawachukulia kama dhaifu sana na wanaweza kuwa na Kila mwanaume.
Upo sahihi kabisa, leo unakutana na mwanamke kazalishwa watoto wawili au watatu alafu anakwambia mume wake hamridhishi hivi inakuingia akilini kweli, ukichunguza utakuta labda mume kayumba kiuchumi kwa sababu ya kulea hao watoto au yupo buys na majukumu ya kutafuta hela sasa mwanamke akishashiba anawaza ujinga tu,
Ndiyo mana wimbi la wanawake wanaolea watoto peke yao limekuwa kubwa sana na linazidi kwa kasi ya 5G
 
Comment kama hizi ndio zinanifanya nizid kukaa mbali naye.

🙏 Eyce
Pamoja mkuu ila tabia ya ashki ni hiyo, itakuaminisha unamiss vingi hadi ukate kiu yako na baada ya hapo, akili inaweza kurudi mapema au la ukanogewa hadi akili ikurudi tayari katikati ya fumanizi. Unaitaka hii situation ikufike

Kingine, wewe umesikiliza story upande mmoja na vipi mambo mangapi mumewe hajakuambia kuhusu huyo mwanamke. Imagine mwanamke anaejiheshimu na kujielewa awe na mahusiano ya pua na mdomo kwenye macho ya mumewe.. Kweli mkuu

Kingine hizo care, chats na attention za muda mrefu, unadhani mume wake hajashtuka. Vipi kama anafuatilia au anawafuatilia kwa ukaribu

Hivi ni risks ngapi zipo hapo hadi ujisahau kiasi cha kutimiza hamu ya muda mfupi. Angekuwa ni mtoto balehe inachemka nisingeweza mlaumu. Mkuu wewe huna ushamba na ngono kiasi cha kurisk vitu vyote hivyo. Muheshimu mwanaume mwenzako mkuu
 
Nashkuru sana mkuu, umemaliza kila kitu.
 
Shukrani sana mkuu, ingawa toto lenyewe ni pisi kali ila nimevuta handbrake kidogo.
Una uhakika hakuna samaki kuvunda huko ndani,kama mwenzio anapiga kimoko unafikiri kwanini,hiyo ni samaki oza.jamaa anapiga kutimiza wajibu,wanawake wenye sura boom Wana shida sana hao,chukua manzi simple hutajutia
 
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.

Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.

Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.

Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.

Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.

Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.

Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
Kula k kula k kijana.....
 
Back
Top Bottom