Mke wa mtu ananitesa

Mke wa mtu ananitesa

Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.

Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.

Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.

Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.

Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.

Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.

Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
Huyo mwanamke hakutakii mema anataka uje ubanduliwe..mkatae huyo ibilisi.

Shetani huwa ana mbinu nyingi sana...kwanza anamuongia mwanamke ili akushawishi ukamgegede ...mkishaingia tu kwenye mapenzi anaenda kumuingia mume wa huyo mwanamke aje akufumanie kisha ulawitiwe.

Kama umeamua kujilipua hakikisha unatembea na chupa ya mafuta ya nazi ya parachute au minara, kilaimishi cha KLY gel, na lubes za durex..itakusaidia siku ukiwa unaliwa ndogo usichubuke sana
 
Umeanza vizuri, ila dk za mwisho umepuyanga.

But thanks man..
 
Siku Likikukuta lakukuta atakusingizia kuwa wewe ndo ulianza kumsumbua muda mrefu. Wewe endelea kucheza na hao viumbe maana huwajui sawa sawa. Kama huamini kamuulize yule mkuu wa mkoa wa Simiyu kilichomkuta
 
Kilimkuta kitu gani mkuu..?
 
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.

Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.

Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.

Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.

Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.

Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.

Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
Acha fala piga mzigo huo unakuwa kama fundi ujenzi.
 
FB_IMG_1719557793598.jpg
 
Back
Top Bottom