Mke wa mtu ananitesa

Mke wa mtu ananitesa

Mkuu kama unazo hela za kupangisha motel au hotel basi ni dhahiri mke wa mtu unamto-mba vizuri bila longo longo.

lakini ukienda kwenye guest au ghetto umekwisha watakukamata tu. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wote wanaosema kaa mbali na mke wa mtu ni wale waliooa ila vijana wa hovyo wapo tu wanasoma huu uzi wanakosa cha kukumenti... oya commentini basi nanyie jamaa apate ushauri wenu πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu kama unazo hela za kupangisha motel au hotel basi ni dhahiri mke wa mtu unamto-mba vizuri bila longo longo.

lakini ukienda kwenye guest au ghetto umekwisha watakukamata tu. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Umeenda mbali sana mkuu, nikiamua hata kwenye ndinga tu namchinja chap.
 
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.

Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.

Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.

Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.

Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.

Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.

Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
Bado mtoto wewe
Kimoja chali halafu unaambiwa ana vimada nje.
Acha ujinga
 
Endelea na mazoea na mke wa mtu hadi mume wake aje akutest wewe ili uthibitishe ni mzee wa kimoja chali au vipi
 
Endelea na mazoea na mke wa mtu hadi mume wake aje akutest wewe ili uthibitishe ni mzee wa kimoja chali au vipi
Kumbe unazielewa shoo zake.
Big up man..!
 
Ilishawahi kunitokea japokuwa Mimi ilikuwa kazini. Yaani huyo mke wa mtu anaishi jirani na kazini na akawa na kawaida ya kuja kuomba atolewe copy kutokana na shughuli zake. Mimi ndo nahusika sana na maswala ya stationery hivyo tukawa tunakutana Sana.
Basi ghafla naona anaanza text za mara kwa mara, mwishowe akanambia "I'm crazy about you". Ukiangalia ni kadada black model alafu ana kitako flani hivi...
Tukapanga siku tukutane lodge. Kweli tulikutana nikapiga show, ingawa mimi niliona ya kawaida lakini yeye alinisifia na alilia baada ya sex eti anadai nimemfanyia vitu ambavyo mumewe hamfanyii kwahiyo amefurahi sana.
Baada ya hapo akawa ananisumbua sana turudie lakini nikawa namkwepa sabu niliona hatari na hawezi kujizuia maana alikuwa ananiita chocho alafu ananikiss na kusema "nakumiss sana nataka show". Hivyo nikaona atakuja kuniletea shida kazini,nikaendelea kumkwepa hadi akakata tamaa.
Hivyo kuwa makini sana ndugu ukizingatia mkaa pamoja.
 
Je hauoni kuwa unaweza kupata UCHAFU , mikosi na kuua focus yako katika MAISHA.

Mwambie asikuletee mazoea ya kijinga hakuna kitu utapata hapo zaidi ya kuzoa mikosi yake kukupatia wewe.

Set standard don't be cheap hata Kama unajitafuta hauna hela make sure wake za watu , single mother , na wanafunzi plus wanawake local hakikisha unakaa nao mbali Sana.
 
Shukrani sana mkuu, ingawa toto lenyewe ni pisi kali ila nimevuta handbrake kidogo.
Na hiyo handbrake iendelee kufanya kazi. Mwanzo wa mbili ni moja, ukianza tu utanogewa na ushasema ni pis kali haya
 
Acha kumsanua mwache aone ngodoigwa mwenyewe.

Hakuna kitu cha siri duniani ,ni lazima mwenyewe atakuja kujua tu.
Sure man, mke wa mtu muogope sana.
Maana mumewe akijua, hata kama umemzidi nguvu anaweza kukuvizia akulime shoka la kichwa.

Kijijini kwetu kuna kijana mbabe alipigwa shoka la kichwa na kajaa ambako hata mkononi mwake hakajai, kisa alitembea na mke wa hako jamaa akidhani hamuwezi kwa lolote.
 
Hahah, tukushauri matumizi ya viungo vyako vya siri? We tumia tu mahali unapotaka.
 
Achana na wake za watu, hata kama yeye ndie anafosi wewe kama mwanaume kuwa na nidhamu na kaa mbali na mitego yake.

You are not doing that for her, you are showing some tremendous level of respect to the man and the entire men community.

We alpha males do not sleep with married women, we respect the off limit zone even when we still can have access.
 
Back
Top Bottom