Mke wa mtu anapokuambia amekumiss anakuwa na maana gani haswa wakuu?

Za saizi wajumbe?

Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani.

Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana "

Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
Kamuulize Mumewe🤣
 
Kwahiyo nyie wajinga ndo mnasema mtazuia uchaguzi hiyo October?
 
Za saizi wajumbe?

Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani.

Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana "

Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
Hama hiyo nyumba haraka sana
 
Piga tu,halafu muheshimu mumewe,ndoa ni ngumu.
 
Kumbuka binadamu tuna ERRORS Katika kusema na kitenda.

Mfano huyo Mke wa watu amefurahi kukuona na kukosea ku respond kiheshima.
 
Ukiona mke wa mtu kakuzoea kiasi hicho basi tatizo sio mwnamke,tatizo ni wewe

Mwanamke huwa amzoei mtu anaye mu-avoid mara kwa mara.

Shtuka mkuu,unajiweka kwenye hatari kubwa sana .
 
Za saizi wajumbe?

Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani.

Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana "

Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
Mkuu mbona unataka kuhalalisha wote tushiriki dhambi zako, unatafuta followers wa kwenda nao motoni sio.
Maana sahihi ni kwamba ametamka hivyo kwakuwa hajakuona muda mrefu jirani yake, sasa kuambiwa hivyo tu umeshawaza ujinga
 
Back
Top Bottom