Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Pili kukataa ndoa kuna husiana vipi nakufanya mapenzi ? Jibu kwa hoja.
 
Na wengi wa kataa ndoa wata left ground maana watajikubali wao kwa wao.
 
Tatu kufaulu kwako kwenye ndoa kuna athiri vipi maamuzi ya wengine?
 
Tano unadhani ukiwa na ndoa ndio utakua salama maishani?
 
Sita kama kila binadamu ni mdhaifu kwa nini unamuuliza anatongoza mke wa mtu ili agundue nini sasa? Jibu kwa hoja
 
Nani aliyekwambia mke wa mtu ni Malaika ana ukamilifu wote yaani wewe umtongoze kisha akukubalie useme ni tatizo kwenye ndoa kwa hiyo wewe hapo unajiuona uko sawa kweli akili si nywele.
Amejaribisha Akioa hatari ya kuchapiwa ni kubwa kiasi gani, kupata hakika ya kitu kabla ya kuzama kichwa kichwa ni jambo zuri mno
 
Kumekuwa na mlipuko wa magenge ya mashoga kutaka kushusha thamani ya Ndoa.

Usipokuwa makini unaweza kuingia mkenge
Mimi siwezi kumzini mtoto wa mtu bila ya ndoa bora ninywe sumu kama nyege ni nyingi..Siwezi kufanya ujinga wa kumuharibia mtu mwingine kwa maslahi yangu ,baadaye hao kenge wanakataa kuwaoa waliowatoa bikra...Ni ujinga kabisa hawa vijana wa leo.

Wanafanya dhulma bila kujijua ni sawa tu na CCM..
 
Uko sahihi...kumzini mtu bila kumuoa unamharibia hatima ya maisha yake hapo baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…