Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

Si wametengana vyumba na mumewe simple tu We hamia hapo ukaishi nae kwenye hcho chumba cha bibie nakuhakikishia hta cm yake mda mwingi utakuwa nayo wewe hutopata tena usumbufu
 
Acha uzinzi ndoa na iheshimiwe na watu wote acha uzinifu mtafute mke wako wa halali huyo sio wa kwako acha zinaa
 
Kijana una hamu ya kupakatwa? kama jibu ni ndio tafadhali rudisha jezi mapema sana...
 
Acha kabisa Kaka single mama hapendwi.Wanaume dhamani yetu Iko wapi umeshindwa kupata Bikira basi tafuta ambaye Hana mtoto kabisa.Mnapata wapi ujasiri wa kuwalea watoto sio wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ