APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Wajuba sometimes hawajihofii mkuu...na pale ndipo inapokuwa noma....Sijaona mahali kama umecheck afya yako...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajuba sometimes hawajihofii mkuu...na pale ndipo inapokuwa noma....Sijaona mahali kama umecheck afya yako...
Simulia japo kidogo ili tuendelee kujifunza.Daaah man, scenario yangu naogopa kuiweka hapa ila it's like same shit. Mke wa mtu, japo wanadai mumewe hadindishi na pia bado sijala mzigo though alikuja hadi gheto we only ended up talking.
Yote hayo hupelekea mauti hivyo si ya kuyawekea uafadhali...Huwa natabia ya kupima HIV kila mwaka ila Hepatitis B na muda mrefu sana sijapima alafu huu ndio ugonjwa wa kuogopwa zaidi ya UKIMWI
Wake za watu wana majaribu sana aisee!
Kuna sababu nyingi za tofauti za kumfanya mke achepuke.
Kuna idadi kubwa ya wanawake walioachwa baada ya waume zao kugundua uchepukaji wa wake zao na wala haijawa suluhisho kwa wengine kutulia.
Kuna haja kuangalia namna nyingine ya kutatua hii hali. Labda kwa kuwa sisi Binadamu ni jamii ya wanyama basi tuliumbwa tuishi kwa staili kama wanyama wengine wanavyoishi.
Miaka ijayo pengine hakutakuwa huu utaratibu wa kuchumbia mke mmoja, maana kwa sasa mfumo huu umeonyesha umefeli kwa kuwa Mke na Mume wote wanakuwa wachepukaji.