Mke wa mtu kanifunza kitu

Daaah man, scenario yangu naogopa kuiweka hapa ila it's like same shit. Mke wa mtu, japo wanadai mumewe hadindishi na pia bado sijala mzigo though alikuja hadi gheto we only ended up talking.
 
Inategemeana mtu na mtu.....je wanaofanya kaza za shift za usiku mfano police na nursery pia hao tusemaje????
Ni kweli inategemea na mtu lakini kuna wakati tunawafanya wachepuke kwa tabia zetu za kutojali
 
Daaah man, scenario yangu naogopa kuiweka hapa ila it's like same shit. Mke wa mtu, japo wanadai mumewe hadindishi na pia bado sijala mzigo though alikuja hadi gheto we only ended up talking.
Simulia japo kidogo ili tuendelee kujifunza.
 

Mkuu hata mie huwa napata mawazo kama haya

Maana taasisi ya ndoa imeanguka sana na kuporomoka sana kadri ya binaadam anavyozidi kupiga hatua ya kukua ki teknolojia, kiuchumi na jamii ndo anavyotaka kuwa huru kuamua hatima yake na mwili wake

Nafikiri miaka michache au mingi kiasi itabidi uje utaratibu mwingine wa masuala ya ndoa na si hii ‘mpaka kifo kitutenganishe’
 
Daah. mimi mwaka jana kuna mke wa mtu alinisumbua sana alikuwa anadai mmewe akirudi kazini apigi show Mmewe anafanya kazi kwenye mizani. ilibaki kidogo tu nimchakate .
 
Yani hilo jambo langu nikiliweka hapa la hawa watu mtatafuta chopa kuja kuniokoa huku niliko.
 
Sasa mkuu wewe ndo umejuwa leo???

Naona bado mdogo wewe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…