Mke wa mtu kanifunza kitu

Na wanaume je? Naona lawama upande mmoja tu.
 
Picha ni muhimu jombaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sitaweza kufanya hivyo mkuu maana kuna wazee wa kuunganisha dot, akiona nguo tu anapata picha kamili.
Ila kwa masimulizi yako aisee umeinjoi sana hiyo mashine. Ipige tu kwa akili wanawake wenyewe ndio hawahawa tu hawanaga uchoyo ukimkataa wewe anamuachia papa mwingine.

Mama zetu ambao walizaliwa kabla ya 1980's ndio walikuwa wanaficha Papa zao, Hawa walevi wa siku hizi unakula tu maana hata mkeo wanajilia tu believe me.
 
Dah!.... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuishi kwa akili na wanawake ,,siku zote nimekua nikimtafuta Nyoka anae ongea ,,ili aniambie ni akili zipi za kuishi na mwanamke aelewe,maana mwanamke nyoka alimwelewa,,,.
 
Ulimla 0716?
 
Huyo Mume wa jamaa anakunywa pombe sana na halali nyumbani huenda ni kutokana na Gubu za huyo mwanamke. Anamsingizia tu kwamba ni mlevi na malaya lakini kwa stori hii na mienendo ya huyo maza uwezekano mkubwa ni yeye Mume amemshindwa.

Na inawezekana yeye ndie dereva wa hiyi familia.

hawezi kuwa anajiamini kiasi hicho. No, No, Big No.
 


unaweza fanya hayo yote ikapatikana sababu nyingine.
 
Huyo dem angechukua magonjwa kwa mumewe kitombi akuletee, bora ulivyokacha mze.
 
Tuliwaambia kuwa wanawake wanatongoza wanaume watu mkabisha na kusema sisi ndio Malaya haya sasa oneni kisa hiki....!


Wanaume tupunguze ubishi na tukubari kujifunza kutoka kwa wenzetu .

Hapo utakuta jamaa analala nje ili kutafuta Mali lenyewe linawaza michepuko tu kwa sababu lenyewe ni Malaya ...


Wanaume tujipende
 
Usimwamini mke wa mtu
akikuambia ananyanyasika na kuteswa kwenye ndoa yake...mara nyingi hizi ni sounds tu za kutaka kukuondolea guilty conscienceness ili unkule huku ukijua unamsaidia kumpunguzia maumivu na pia kumlipizia mumewe! Hawa ni machangu tu waliojipenyeza kwenye ndoa na kwa kweli hawawezi tosheka🤣😂🤣! Mie na mke wa mtu sidanganyiki kihivyo...labda niamue tu kufanya vurugu😜!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…