Mke wa mtu kanifunza kitu

Mkuu sasa kama mtu harudi nyumbani siku mbili atajuaje unakula?
 
Ndugu haujaishi na mwanamke ukamjua vizuri kama wewe mchepuko amekushikia akili hivyo kukuchezea anavyotaka, hawa ni viumbe wa ajabu inatakiwa kutumia akili ya ziada pamoja na upendo, upendo tuu bila akili huwezi kuishi nao
 
Ndoa ni life- commitment ya hali ya juu sana nauelewa mkubwa wa taasisi hiyo iliyotakatifu kwa wote wawili, mmoja kwenda mchepuko nawe unaiga haijengi ndoa mnaleta uchafu ndani.Mungu ameagiza ndoa iheshimiwe na watu wote, BwanaMungu amefanya jambo jipya duniani mwanamke atamlinda mwanaume, sasa mwanamke anamlindaje mumewe kwa kufanya uasherati
 
So mkeo wahuni wanamchinja bro
 
Ndugu haujaishi na mwanamke ukamjua vizuri kama wewe mchepuko amekushikia akili hivyo kukuchezea anavyotaka, hawa ni viumbe wa ajabu inatakiwa kutumia akili ya ziada pamoja na upendo, upendo tuu bila akili huwezi kuishi nao
Mapenzi ndugu we acha tu... Unaweza kuwa ni mtu wa totoz sana kila aina ya dem unamjua lakini kuna sehemu unaweza ukashikiwa akili hadi watu washangae
 
Ntaenda kumwambia jamaa...[emoji2][emoji2]
 

Wanawake wote wanaoliwa nje husingizia mambo mengi waume zao ili kukunasa kirahisi, vilevile kama ambavyo sisi waume za watu nikitaka kula mchepuko namsingiazia mke wangu mambo mengi ili nipate mzigo kirahisi, so dont be fooled ukaamini kweli hapendwi na ananyanyasika
 
Uko sahihi... Noted!
 
Daah. mimi mwaka jana kuna mke wa mtu alinisumbua sana alikuwa anadai mmewe akirudi kazini apigi show Mmewe anafanya kazi kwenye mizani. ilibaki kidogo tu nimchakate .
Mara nyingine hawa wake za watu msiamini sana maneno yao.

Wanawasingizia waume zao kuwa hawasimamishi, hawawaridhishi au hawawajali ila unakuta SI KWELI, ni wao tu wana tabia za Umalaya. Pia hizi smartphones zimechangia sana uchepukaji.

Ukitaka kujua waume zao wana umuhimu ngoja waachike kwenye ndoa zao uone wanavyoweweseka kutaka kurudi kwa waume zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…