Mke wa mtu kanifunza kitu

Wake zetu siku hizi wakitaka kuchepuka wana sababu 2 au 3 za Kuwaambia michepuko yao, ambazo ni:-
1. Mume wangu ni mlevi
2. Mume wangu ni malaya
3. Mume wangu haniridhishi au akipiga kimoja basi.
Kwa wenye uelewa, wastaarabu wana jina huyu ni malaya hana jipya. Vijana acheni tabia za kutembea na wake za watu ipo Siku mtakuja kulogwa au kulawitiwa kisa mke wa mtu
 
Daaah man, scenario yangu naogopa kuiweka hapa ila it's like same shit. Mke wa mtu, japo wanadai mumewe hadindishi na pia bado sijala mzigo though alikuja hadi gheto we only ended up talking.

Ukitaka kujua hadindishi ngoja akufumanie na mke wake
 

Hizi ni tabia na visingizio vya wanawake wanaopenda kutoka nje ya mahusiano yao. Kwanini wasikae ndani na kuyamaliza?
 
Ni kweli kabsaa mkuu, hayo ndio mawazo yao, wao ufikiri muda wote umeenda kwa wanawake.
 
Mume asiye na upendo hawezi kumnunulia mke gari.
Wakati mwingine majukumu yanapokuwa mengi ukichanganya na tamaa zao ndiyo chanzo cha wao kutoka nje.

Leo hii tunaweza kumsema mume kwa kusikia mkasa wa upande mmoja lakini wao wawili ndiyo wanajua mkwamo wa ndoa yao uko wapi.

Tuheshimu ndoa za wenzetu.
 
Cha mtu uliwa na mtu
 
Kuna mwingine mumewe alipata shida ya kiafya baada ya ajali kama 6 years ago... mkewe anakitembeza mpaka aibu naona mimi.
 
Daaah man, scenario yangu naogopa kuiweka hapa ila it's like same shit. Mke wa mtu, japo wanadai mumewe hadindishi na pia bado sijala mzigo though alikuja hadi gheto we only ended up talking.
Hahaha hahahha mumewe hadindishi why? Kaoa
 
Mumewe mlevi na malaya. Yeye dada Loveness ana mbaya zipi hajakwambia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…