Mke wa mtu kanitamkia maneno magumu

Mke wa mtu kanitamkia maneno magumu

Yakki Kadaf

Member
Joined
Jan 8, 2023
Posts
29
Reaction score
107
Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara hapa mtaani huwa nina chumba changu ambacho japo sikitumii sana bado nakilipia kama kawaida.

Sasa leo tarehe 12.01.2023 majira ya saa 2 asubuhi kafika mama mmoja kukinga maji ya mvua kwenye nyumba nayoishi maana kwa mji wa Bunda mvua zimenyesha hii leo.

Alipofika akanisalimia kisha kuropoka "kaka yangu haya maji yatatuua, fikiria nimekuja kukinga hata sijakumbuka kuvaa chupi!"

Ndoa nyingi kwa sasa zinapitia kipindi kigumu
 
Tatizo la hawa viumbe hawajui kutunza siri.
Kipindi cha nyuma mke wa jirani yangu tulikuwa tunashea kibaraza alifanya usafi akatoa makorokoro ambayo mafundi waliacha baada ya kufanya ukarabati kwangu.
Nikafurahi sana nikamuahidi kumpa hela ya soda. Basi nikampa elfu tano. Si akamuambia mumewe!
Ule ugomvi ulikuwa mkubwa sana na ulidumu kwa siku tatu.
 
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom