bega joseph
Member
- Jan 12, 2023
- 5
- 8
Duuh we pigaa banaaaHuyu dada ana miaka kama 34 maeneo ya nyasura, mme wake ana 50.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh we pigaa banaaaHuyu dada ana miaka kama 34 maeneo ya nyasura, mme wake ana 50.
[emoji1787][emoji38][emoji28]Mke wa mtu sumu chief, kaa nae mbali.
Leo hajavaa yeye chupi kesho mumewe akikukuta atakuvua wewe chupi.
U know her better... Mpaka umri?Huyu dada ana miaka kama 34 maeneo ya nyasura, mme wake ana 50.
Huko Mara wanakata watu mapanga,jichanganye uoneNipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara hapa mtaani huwa nina chumba changu ambacho japo sikitumii sana bado nakilipia kama kawaida.
Sasa leo tarehe 12.01.2023 majira ya saa 2 asubuhi kafika mama mmoja kukinga maji ya mvua kwenye nyumba nayoishi maana kwa mji wa Bunda mvua zimenyesha hii leo.
Alipofika akanisalimia kisha kuropoka "kaka yangu haya maji yatatuua, fikiria nimekuja kukinga hata sijakumbuka kuvaa chupi!"
Ndoa nyingi kwa sasa zinapitia kipindi kigumu
AseeeNipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara hapa mtaani huwa nina chumba changu ambacho japo sikitumii sana bado nakilipia kama kawaida.
Sasa leo tarehe 12.01.2023 majira ya saa 2 asubuhi kafika mama mmoja kukinga maji ya mvua kwenye nyumba nayoishi maana kwa mji wa Bunda mvua zimenyesha hii leo.
Alipofika akanisalimia kisha kuropoka "kaka yangu haya maji yatatuua, fikiria nimekuja kukinga hata sijakumbuka kuvaa chupi!"
Ndoa nyingi kwa sasa zinapitia kipindi kigumu
HahahaHuko Mara wanakata watu mapanga,jichanganye uone
HahahaKataa ngono za mtelemko, utakuja nishukuru baadae
Nipo huku Wilaya Kyerwa kikazi lakini wanawake za watu ni wepesi sana kuliko maelezo mpaka najisemea kimoyo moyo hawa wapesi siyo kwamba wana UKIMWI ? Maana mkoa kagera unasifika kwa maambukizi ya UKIMWI.Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara hapa mtaani huwa nina chumba changu ambacho japo sikitumii sana bado nakilipia kama kawaida.
Sasa leo tarehe 12.01.2023 majira ya saa 2 asubuhi kafika mama mmoja kukinga maji ya mvua kwenye nyumba nayoishi maana kwa mji wa Bunda mvua zimenyesha hii leo.
Alipofika akanisalimia kisha kuropoka "kaka yangu haya maji yatatuua, fikiria nimekuja kukinga hata sijakumbuka kuvaa chupi!"
Ndoa nyingi kwa sasa zinapitia kipindi kigut
Ni matumaini yangu hukumnyima de libolozNipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara hapa mtaani huwa nina chumba changu ambacho japo sikitumii sana bado nakilipia kama kawaida.
Sasa leo tarehe 12.01.2023 majira ya saa 2 asubuhi kafika mama mmoja kukinga maji ya mvua kwenye nyumba nayoishi maana kwa mji wa Bunda mvua zimenyesha hii leo.
Alipofika akanisalimia kisha kuropoka "kaka yangu haya maji yatatuua, fikiria nimekuja kukinga hata sijakumbuka kuvaa chupi!"
Ndoa nyingi kwa sasa zinapitia kipindi kigumu
Wewe gegeda bwana mambo ya ukimwi acha nayo. Kifo kipo tuuu.Nipo huku Wilaya Kyerwa kikazi lakini wanawake za watu ni wepesi sana kuliko maelezo mpaka najisemea kimoyo moyo hawa wapesi siyo kwamba wana UKIMWI ? Maana mkoa kagera unasifika kwa maambukizi ya UKIMWI.
Ushauri wangu tuwe makini sana na wake za watu tusipende mtelemko sana alafu tukaja kujuta maisha yetu yote ,maana ukifanyacho leo kina matokeo ya kesho yako.