Yakki Kadaf
Member
- Jan 8, 2023
- 29
- 107
Nakubaliana naweHuko bunda siyo salama.
Ukijiachia tu wamekuondoa.
Mume wake ni mkurya au nae ni wakwenda kama wewe? Huko ni mapanga tu mura!Namheshimu sana mme wake
Muikizu na mke pia muikizuMume wake ni mkurya au nae ni wakwenda kama wewe? Huko ni mapanga tu mura!
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Huyu dada ana miaka kama 34 maeneo ya nyasura, mme wake ana 50.Me mwenyew nipo bunda mtaa WA Balili kuna lishanganzii Tena mke Wa mtu silielewii kbsaa
Pole sana mkuuTatizo la hawa viumbe hawajui kutunza siri.
Kipindi cha nyuma mke wa jirani yangu tulikuwa tunashea kibaraza alifanya usafi akatoa makorokoro ambayo mafundi waliacha baada ya kufanya ukarabati kwangu.
Nikafurahi sana nikamuahidi kumpa hela ya soda. Basi nikampa elfu tano. Si akamuambia mumewe!
Ule ugomvi ulikuwa mkubwa sana na ulidumu kwa siku tatu.
Nimecheka kinafiki tuKwahiyo mkuu ukamjibuje eti alivyokuambia hajakumbuka kuvaa chupi