Mke wa mtu sumu hasa huyo mtu akiwa kibopa wa Serikali, najuta

Mara mke wa mtu
Mara ni mchepuko
Tushike lipi.

Halafu unasema kakuzimikia kwa wingi wa akili zako. Huyo mke a.k.a mchepuko anajua kusoma na kuandika?
 
Nirekebishe kidogo, sio sumu inayouwa taratibu, ni "chapchap" panga linatua kichwani kwa mahesabu ya hali ya juu, huombi maji. Kama ni tajiri ni risasi ya utosini. Mke wa mtu ni sumu kali kuliko Ile ya nyoka koboko.
 
Naona umesahau ku-switch account, umeanzisha uzi kwa kutumia ile account yako ya kupigia mizinga.

Mfanyakazi idara nyeti ya kupigwa pipe.

#KataaUshoga

Mwanaume unakuwaje papai?
 
Huyo jamaa ndo wewe ila Kuna mushkeri unatumia jina la kike
 
Wewe unataka kujinasibu kuwa unafanya kazi idara nyeti ili upate mademu, kumbe huna lolote, kazi nyeti, una gari na milioni mbili, afu gesti umeenda za mbagala za elfu tano tano na kungunu juu.

Pia unawatorokaje njemba tatu, lasivyo walikukula ndogo.
 
unapenda kula wake wa vibopa sema bado unaona ndoto unawapataje,

pisi kali executive unawezaje ipeleka guest mbagala maji matitu?

kuwa serious.
 
Jina lako na kuacha pesa kwenye pochi linaonyesha wewe ni mwanamke. Nia ya ulichohadithia haijululikani.
 
*****. Chai ya moto hii. Leteni mihogo
 
Siyo unatupanga?
Kama uliliwa utasema?
 
Felister, unataka tu kudhalilisha taasisi za watu. Ungeweza kabisa kusimulia hii chai yako bila kujigamba kwamba wewe ni mfanyakazi wa mahali fulani. Huyo aliyesema umetoroka mirembe yuko sahihi. Na kwa kuwa uliweza kutambua madumu ni ya kampuni gani utakuwa ulitumia muda wa kutosha ukishughulikiwa na hizo njemba. Sema tu ukweli kwamba ulitaka kujulisha umma jinsi ulivyopoteza marinda i.e. kama si mzoefu tayari. Chagua mwenyewe kati ya HONGERA na POLE
 
Njemba tatu zenye futa telezo na kibosile ni wa nne, halafu wewe kimbaumbau ukachoropoka.
Japo ni chai ila irekebishe aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…