Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Kabisa.......watu wamepakuwa mzigo.......Kashaliwa huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.......watu wamepakuwa mzigo.......Kashaliwa huyu
Na mark x alisahau! Huyu nadhani pia ni muhaya😂Una million 2 kwenye pochi alafu unaenda kwenye guest bubu za uswahilin huu ni uongo hivi chuo mnafungua lini
Nitaongea na wengi humu, najua nini ni wadogo. mkumbukeni Muumba wenu wakati bado mnayo nafasi, duniani tunapita kabisa. uzinzi ni dhambi, hata ufanye sana kuna arobaini yako utakuja kujuta tu. ajabu yake ni kwamba, watu wanaogopa waume zao au ukimwi au chochote cha dunia hii, wanashindwa kumwogopa Mungu wa mbinguni anayewaona wanavyofanya kila kitu, na anakataza hicho kitu. nilishafanya sana uzinzi, nikaja kujua kuwa namkosea sana Mungu tena kwa kuhofia wanadamu badala ya kumhofia yeye. Mungu anao uwezo kutoa dhabu kali kuliko hizo mnazoziogopa. Mwogopeni Mungu, Mwogopeni Mungu, Mumheshimu Mungu, iweni watakatifu hasa ninyi mnaobeba vyombo vya Bwana, na hata ninyi msiobeba vyombo vya Bwana jueni ya kuwa, dhambi ni uasi na usipotubu na kuacha, haitakuacha salama. Mungu awasaidie.Mke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale.
Wakuu ama kweli yalionikuta jana siwezi kuyasahau maisha yangu yote hivi inakuaje manjemba watatu wote wanakuja guest na mafuta ya korie ili tu wamle mwanaume mwenzao, ni ushetani kabisa.
Kama unavyojua mimi ni mfanyakazi wa Taasisi moja nyeti hapa nchini, wale wazee wa pale Makumbusho kwahiyo si najiamini tu. Kuna mwanamke au ni mke wa mtu, jamaa ni kiongozi mkubwa sana wa serikali, kiufupi ni mchepuko na huyu mwanamke alinipenda kutokana na akili zangu kubwa sana, akaingia king puuuh huyu hapa, aisee sio poa kabisa.
Basi bwana jana mwanamke nikampanga kwenye guest x pale mbagala, akatimba aisee na manukato na marashi ya Pwani. Akaingia guest x, kuingia tu sikutaka kuchelewa nikapiga kitu xy cha kwanza, sasa wakati namla cha pili nipo kifuani kwake aisee mlango ukagongwa, kutahamaki kipoba huyu hapa na njemba kama watatu hivi wapo na madumu ya korie.
Aisee purukushani purukushani nikawashinda nguvu nikafungua mlango fasta nikatoka nduki na boxer na vest tu. Hiyo ndiyo ikawa pona yangu, bila hivyo tungesema mengine aisee.
Nikatoka nduki mpaka Zakhem nipo na boxer na vest, nikasahu Mark X yangu pale guest na kama milioni 2 kwenye pochi, aisee sio poa.
"Ama hakika mke mtu ni sumu."
Pole kwa kutatuliwa rindaMke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale.