Mke wa mtu unaonyesha nguo ya ndani nyeupe ili iweje?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Nyumba tunazoishi za kupanga, nyumba moja familia tano. Mke wa mtu unavaa suruali unapoinama kuosha vyombo au kufua chupi jeupe linaonekana kiunoni limekatika na kuonyesha shepu lote la makalio huu ni ustaarabu?

Mbaya zaidi unawalenga vijana ambao hawana wake au wale ambao wake zao wako mbali. Hii tabia sio nzuri kabisa.

Nani ameleta hizi tamaduni zisizofaa kwenye jamii zetu?



 
Mwenzako anatekeleza majukumu yake ( kufua na kuosha vyombo), wewe unafanya nini nyumbani wakati huo hadi unapata muda wa kumwangalia kwa ukaribu namna hiyo ujue rangi na mapindo ya nguo yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…