Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Nyumba tunazoishi za kupanga, nyumba moja familia tano. Mke wa mtu unavaa suruali unapoinama kuosha vyombo au kufua chupi jeupe linaonekana kiunoni limekatika na kuonyesha shepu lote la makalio huu ni ustaarabu?
Mbaya zaidi unawalenga vijana ambao hawana wake au wale ambao wake zao wako mbali. Hii tabia sio nzuri kabisa.
Nani ameleta hizi tamaduni zisizofaa kwenye jamii zetu?
Mbaya zaidi unawalenga vijana ambao hawana wake au wale ambao wake zao wako mbali. Hii tabia sio nzuri kabisa.
Nani ameleta hizi tamaduni zisizofaa kwenye jamii zetu?