PostGE2025 Mke wa mwanaume aliyeachiwa kwa kesi ya Uhaini: Mume wangu usiandamane tena. SMS zozote usitume

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Hii video imenisikitisha sana. Nisiongee sana

Baadhi ya vijana 47 kati ya 48 waliokuwa wakiandamana tarehe 29 Oktoba mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuiondoa kesi hiyo mahakamani.

Mtanange wa kupigania haki za ukubwa huu una options mbili tu: win or die!
 
Wakuu

Hii video imenisikitisha sana. Nisiongee sana

Baadhi ya vijana 47 kati ya 48 waliokuwa wakiandamana tarehe 29 Oktoba mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuiondoa kesi hiyo mahakamani.

Wanawake tusiwahusishe kwenye mambo magumu, wenzetu ni watu wa hisia, tusimlaumu huyo mwanamke na kumjengea hoja.
 
Hata wengine wasipoandamana nitaandamana. Nchi yangu Tanganyika ni muhimu sana kwa ajili ya watito wangu na wajukuuu, vitukuu etc
huna familia ya kuitunza
 
Wametumwa hao si bure.
Mimi mwanaume wangu akiniambia anaenda kuandamata namuandalia buti fasta na kumuhimiza asichelewe, akaandamane mwaka mzima asirudi hadi ukombozi upatikane.
 
Back
Top Bottom