uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Wakuu
Hii video imenisikitisha sana. Nisiongee sana
Baadhi ya vijana 47 kati ya 48 waliokuwa wakiandamana tarehe 29 Oktoba mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuiondoa kesi hiyo mahakamani.
Watu wote walioshatkiwa au kufa waliandamana?
Ndo maana mmashauriwa msioe kama mnataka kufanya vitu vya maana sana hapa duniani 😁
Sahihi