Hata wengine wasipoandamana nitaandamana. Nchi yangu Tanganyika ni muhimu sana kwa ajili ya watito wangu na wajukuuu, vitukuu etcWana wauzia uwoga.
Na Hakuna maandamano ya amani yamewahi kumuondoa mtawala madarakani.Hata wengine wasipoandamana nitaandamana. Nchi yangu Tanganyika ni muhimu sana kwa ajili ya watito wangu na wajukuuu, vitukuu etc
Mtanange wa kupigania haki za ukubwa huu una options mbili tu: win or die!Wakuu
Hii video imenisikitisha sana. Nisiongee sana
Baadhi ya vijana 47 kati ya 48 waliokuwa wakiandamana tarehe 29 Oktoba mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuiondoa kesi hiyo mahakamani.
Akaulizwe kizimkaziKwa hiyo hakufuata mkumbo
Km huna kitu cha maana cha kufanya hapa duniani, oaNdo maana mmashauriwa msioe kama mnataka kufanya vitu vya maana sana hapa duniani 😁
Sasa unaandamania wapi mkuu na haupo nchiniHata wengine wasipoandamana nitaandamana. Nchi yangu Tanganyika ni muhimu sana kwa ajili ya watito wangu na wajukuuu, vitukuu etc
Wanawake tusiwahusishe kwenye mambo magumu, wenzetu ni watu wa hisia, tusimlaumu huyo mwanamke na kumjengea hoja.Wakuu
Hii video imenisikitisha sana. Nisiongee sana
Baadhi ya vijana 47 kati ya 48 waliokuwa wakiandamana tarehe 29 Oktoba mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuiondoa kesi hiyo mahakamani.
huna familia ya kuitunzaHata wengine wasipoandamana nitaandamana. Nchi yangu Tanganyika ni muhimu sana kwa ajili ya watito wangu na wajukuuu, vitukuu etc