PostGE2025 Mke wa mwanaume aliyeachiwa kwa kesi ya Uhaini: Mume wangu usiandamane tena. SMS zozote usitume

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Watu wote walioshatkiwa au kufa waliandamana?
Ndo maana mmashauriwa msioe kama mnataka kufanya vitu vya maana sana hapa duniani 😁

Sahihi
 

Wamekamtwa watu wasio na hatia na ndio maana wameachiwa huru...

Sasa sijui huyo mama analia nini wakati mumewe kaachiwa huru, maana yake hakukuwa na ushahidi wowote wa kumtia hatiani...
 
Mama Nyerere angekua na ujinga huu tusingekuwa hapa
 
Samia na mtu kama wewe uelewa wenu ni mdogo sana ndiyo maana mnadhani propaganda za kijinga kama hizi zitawafanya watanzania wasahau mauaji yalifanywa na Samia kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Hamsomi alama za nyakati na kujua kuwa watanzania wameshabadilika kabisa na hawaogopi tena lolote? Idiots!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…